Queen matty
Member
- May 14, 2016
- 84
- 89
Habari wadau kama unajua Showroom ambayo naweza kuchukua gari na nikailipia kidogo kidogo kwa muda wa mwaka mmoja au miwili naomba mnijuze jamani...maana nahitaji gari ila sina pesa timilifu.
Njoo nkuuzie yangu Bei chee
Njoo nikuuzie ist yangu namba DDG
🤣🤣 says the heroic feminist behind the forsaken keyboardIST hata ukinipa bure sichukui.
I'll take that as a compliment.says the heroic feminist behind the forsaken keyboard
Mkuu nakucheki inbox tuzungumze. Kuna showroom wanakopesha magari ila walau uwe na nusu(50%) ya gharama ya gari unayotaka.Habari wadau kama unajua Showroom ambayo naweza kuchukua gari na nikailipia kidogo kidogo kwa muda wa mwaka mmoja au miwili naomba mnijuze jamani...maana nahitaji gari ila sina pesa timilifu.
Mkuu nakucheki inbox tuzungumze. Kuna showroom wanakopesha magari ila walau uwe na nusu(50%) ya gharama ya gari unayotaka.
Hahaa mkuu bahati mbaya unajudge mambo kwa jumla jumla. Sitapokea hela yake mpka aje ofisini kuchagua gari na tuongee bei na terms za payments.Nyinyi ndo matapeli..
Kama wanafahamika why usiwataje hapa kila mtu anaetaka aende?
Akufatae inbox ukamtapeli?
Ogopeni Sana watu hawa
Weka contacts Hapa, wahitaji wanaweza kuwa wengi,Hahaa mkuu bahati mbaya unajudge mambo kwa jumla jumla. Sitapokea hela yake mpka aje ofisini kuchagua gari na tuongee bei na terms za payments.
Ni mazingira ya jf ndio yanafanya tuwe unknown na ID zetu. By the way hongera kwa kumpa tahadhari.
Weka contacts Hapa, wahitaji wanaweza kuwa wengi,
Mkuu ofisi zetu ziko mikocheni karibu na Feza primary school fika hapo utatupata.Weka contacts Hapa, wahitaji wanaweza kuwa wengi,
Mkuu nakucheki inbox tuzungumze. Kuna showroom wanakopesha magari ila walau uwe na nusu(50%) ya gharama ya gari unayotaka.
Nimeshataja ofisi mahali zilipo mkuu.ni mikocheni B karibu kabisa na Feza primary.Bora ungezitaja hapa hapa kwa faida ya wengine pia
Nimeshataja ofisi mahali zilipo mkuu.ni mikocheni B karibu kabisa na Feza primary.