Wakuu habari zenu natafuta showroom ilokuwa nzuri ambayo inabei nzuri.. Na waaminifu kwenye gari zao sio showroom za mizengwe.. Shukran sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Shuran mkuuWacheki Hawa namba zao hizo hapoView attachment 1431106View attachment 1431107
Naam asante gari ni rush au toyota cami kama itawezeka mipate mawasiliano yao mimi nipo mbali lido o na dar shukran
Sent using Jamii Forums mobile app