here we go!CTO i cant find link to redirect me there......?i hope this will be platform form geeks and technology lovers, and i hope that it will give us opportunity to share many things about the future of technology here in tanzania and worldwide in general,Cheers
Inategemeana na lengo la mtu, maandalizi n.k.Mimi naona imeishakuwa kawaida watu kufugua forums lakini baada ya muda zinafilia mbali.May be hii yako itadumu.
Forum ina dakika chache tu tangu imefunguliwa haiwezi ikawa kama JF ambayo ina miaka kadhaa hewani 🙂Nimejaribu kupita pale naona mpaka sasa kuna thread moja tu imeanzishwa,sasa sijui kama labda ni upya wa forums au ni watumiaji ndio hawana vitu vya kupost.
Karibu tuliendeleze hili gudurumu 😛Anyway,I'm going to register kisha nione nini kinaendelea.
You are right!Ila kuna kitu kimenifurahisha sana kwenye rules pale.Kwamba hakuna kuomba vitu vya magumashi,kama vile activatina keys za baadhi ya progs..
Hahaha! Unajua ukiwa na imagination kwamba hayo ndio maisha utadhani kuwa umekwisha. Ukweli ni kuwa kuna mambo mazuri zaidi ya tunayohangaika nayo. Jibu langu ni alternative...alternative...alternative!Sasa je,sisi wazee wa kugongea michakato ndio basi tena,au?!
Kwa kuwa hakuna jukwaa la siasa pale sidhani kama kuna haja ya kutumia nickname. Lakini ni chaguo lako utumie real or nickname as long as nickname haina maana za ajabu ajabu kama sexual suggesting, vulgar, violent et alHalafu ktk zile rules,sijaona kama registration tunatumia real names au hata nicknames ni ruksa.
Hahaha! Dah...!Halafu sijajua kama kwa vile ni mambo ya IT tu,maana naona imetumiaka lugha ya kingereza.Kwa hiyo sisi waswahili ndio hatuna chetu,au? .
Halafu CTO,je,naruhusiwa kuregister kuwa member lakini mtazamaji tu.Kwa sababu ninaweza kuwa interested na kinachoendelea pale ila mimi sio mtalamu wa IT.
CTO,nimeregister lakini mpaka sasa ni zaidi ya 10 mins lkn nimepata tatizo kama alilopata chief-mkwawa hapo juu.Sijaona email yoyote si kwenye inbox wala spam,tunafanyaje sasa?Hakuna rule inayokulazimisha uwe mchangiaji. Hata hivyo kuna forums kama Linux, Windows, Lounges ambazo kimsingi ni kwa watumiaji zaidi. Mfano windows problems ktk laptop yako unapata msaada pale. Au watumiaji wa Linux kama Ubuntu na Fedora wanaweza share vitu fulani pale
Hata ukiwa mtazamaji ni sawa tu!
CTO,nimeregister lakini mpaka sasa ni zaidi ya 10 mins lkn nimepata tatizo kama alilopata chief-mkwawa hapo juu.Sijaona email yoyote si kwenye inbox wala spam,tunafanyaje sasa?
check in 5min!