Nilikua naomba kuuliza jambo ... Kuna hii huduma ya VOD inayomilikiwa na multchoice Africa inaitwa SHOWMAX nilikua nataka kufahamu je kuna muundo mwingine wa malipo wa hiyo huduma mfano mpesa , tigopesa au airtelmoney ... maana naona wameweka hizo credit card peke yake ?