Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,434
Hebu ukwae huo u CEO, unipe hata kitengo Cha administrator wa mazingira 😃🤒 Dr LizzyKama CEO mtarajiwa nasema hesabu za mwaka zitazingatiwa kabla ya yote. 😁😁
On a serious note, ntajitahidi niguseguse kidogo maana nimeshafanya practice sana.
Si unaelewa taratibu na sheria za music label na management siwezi weka nyimbo kwenye platform kama hii ambayo sio official kwa music.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Embu tupia Intro hapa wadau waelewe hii duo ya Dr Lizzy & 100 others ni kali aje!
Alafu uliniahidi tutafanikiwa chapchap kama kina Diamond...tumefikia wapi??
Kwanini misumari lakini??🥴OYaaa una kulaga misumari au😃😂, ndo Mana nakuambiga Ume rithi I'd😂😃
Shida ni hiyo slim curvy body😃, akati watu wenye namba ka zako.Kwanini misumari lakini??🥴
Jamani 🤣🤣🤣Shida ni hiyo slim curvy body😃, akati watu wenye namba ka zako.
👉Wana fanana na sim tank la maji😃🏃🏃🏃🏃
SI una ona Sasa🤔, huyo editor peponi Monlja kwa moja 😃😂.
Anaenda kweli maana mi mwenyewe huwa namuombea! 😆😆😆SI una ona Sasa🤔, huyo editor peponi Monlja kwa moja 😃😂.
👉Sema ukweli hii id Huja rithi😆
magnifique 🤗🏃🏃🏃🏃Anaenda kweli maana mi mwenyewe huwa namuombea! 😆😆😆
Sijarithi hata!🙃
Dah nime cheka kinyama 🤣😆🤒.Dr Lizzy niweke na ambayo nimetoa hio nguo uliyovaa?
View attachment 2877849
View attachment 2877852
Nguo nshatoa nasubiri go ahead..
Ndio yenyewe hio , shingoni hapo kuna shadow, huyo ndye Lizzy mwenywe.Dah nime cheka kinyama 🤣😆🤒.
👉Haiko realistic, shingo na kichwa viko tofauti
Nina ka uwezo ka kuchambua content ya Picha, kuona hidden info.Ndio yenyewe hio , shingoni hapo kuna shadow, huyo ndye Lizzy mwenywe.
Software yenye AI, deep learning n.k ime process.Nina ka uwezo ka kuchambua content ya Picha, kuona hidden info.
👉Zoom shingo na kidevu, utofauti wa mwelekeo.
👉Kimvuli katika sehemu za pembeni ya shingo, ila sio katikati 🙄.(hapa uwalakini ndo una anzia.
Hiyo ai ipe pole, ninge ipa 7%, Kuna ai ya mchina ya kulipia hiyo ndo angalau naonaga maajabu.Software yenye AI, deep learning n.k ime process.
Picha original ilikuwa na kivuli pia pembeni mwa shingo, software haikosei, nimetoa na nguo hio hapo chini itazame vyema.
Huyo ndiye Lizzy, au mwambie akutumie picha uhakiki.
Kama unakataa shauri yako,Hiyo ai ipe pole, ninge ipa 7%, Kuna ai ya mchina ya kulipia hiyo ndo angalau naonaga maajabu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dr Lizzy niweke na ambayo nimetoa hio nguo uliyovaa?
View attachment 2877849
View attachment 2877852
Nguo nshatoa nasubiri go ahead..