Asante sana[emoji173][emoji173][emoji173]Amani sana ndugu mshana,namuelewa kijana hana hulka hiyo.
Majibizano yetu ni ya amani na utani na ujeuri wa kuweza kumpatia mtu mwingine pressure ya kuhisi tutafika hatua fulaniiii lakini hapana[emoji111].
Kuna siku nmeitwa nipewe ua na bi harusi nilipotea ukumbini kabisa🤣🤣🤣🤣sina ujasiri wa kudaka uaView attachment 2864078
Mfikishie taarifa kuwa nimesikitika MC kuniomba nifike mbele nikajumuike na jinsia nyingine sababu ni moja ya waliofika "pekee yangu bila mwenza pembeni".
Ila nimemkatalia mwambie🤣
Worry out bro🙏🙏, Mimi na Zulu man tuna elewana.Wakuu wangu Intelligent businessman na Zulu man nawaombeni sana mmakinike na mwenendo wa majibizano yenu yasijekufika mahali yakawa out of control na mambo yakawa mengi mwisho uzi ukapitiwa na pilatoView attachment 2864051
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kulia Lia, this is more than the second war🤒😀Amani sana ndugu mshana,namuelewa kijana hana hulka hiyo.
Majibizano yetu ni ya amani na utani na ujeuri wa kuweza kumpatia mtu mwingine pressure ya kuhisi tutafika hatua fulaniiii lakini hapana✌.
Aisee kula vumbi au upepo😀🤒, USI take kuvuna usicho panda🤒Kwahiyo mimi sikaribishwi ?uchoyo kijana utaacha lini.?
[emoji1548][emoji173][emoji173][emoji173]Worry out bro[emoji120][emoji120], Mimi na Zulu man tuna elewana.
[emoji117]Tuna changamshana tu[emoji120].
[emoji117] I mean no malice to nobody [emoji120]
Zingatia lengo la thread sasa ili tusitoke nje ya mada kijana.Aisee kula vumbi au upepo😀🤒, USI take kuvuna usicho panda🤒
We kenge niache🤣😀, Ume juaje nakula viazi leo😀View attachment 2864332
Nifikishie magimbi kijana Intelligent businessman hapa msata kwa ndugu Mshana Jr .
Nimehisi hivyo sababu nimepata magimbi pia.We kenge niache🤣😀, Ume juaje nakula viazi leo😀
Sema hii dunia Kuna juicy Kali, kuangalia channel moja mhh🤣😀😀Nimehisi hivyo sababu nimepata magimbi pia.
HahahahahaView attachment 2864332
Nifikishie magimbi kijana Intelligent businessman hapa msata kwa ndugu Mshana Jr .
Kwa hii akili unayomiliki,Maisha ya kuchangamana na watu tofauti wewe kijana hayakufai.Sema hii dunia Kuna juicy Kali, kuangalia channel moja mhh🤣😀😀
Jobless ambae hela ya kula mtihani unaniwekea picha Kama hizo km sio kutaka nisikitike ni nn?Tayana-wog hayo masikitiko vepee🤣😀🤔
Ndio Mana niko isolated, coz Niki socialize na mbweha ka wewe.Kwa hii akili unayomiliki,Maisha ya kuchangamana na watu tofauti wewe kijana hayakufai.
Vocha Tena🤣😀😀😀, mi mwenyewe nime connect Wi-Fi ya wadau🤣Jobless ambae hela ya kula mtihani unaniwekea picha Kama hizo km sio kutaka nisikitike ni nn?
Haya nasubiri vocha ya tigo hapa nipate bando
Fanta wepesi tajiri jobless
Hii comment watu wengine watawaza ya kwao😆
Aisee una nitafutia mabalaa 🤣😀😂, acha thread ibaki salama. 🤣🤒Jobless ambae hela ya kula mtihani unaniwekea picha Kama hizo km sio kutaka nisikitike ni nn?
Haya nasubiri vocha ya tigo hapa nipate bando
Fanta wepesi tajiri jobless
Hii comment watu wengine watawaza ya kwao😆
Ujue nimechekaVocha Tena🤣😀😀😀, mi mwenyewe nime connect Wi-Fi ya wadau🤣
🤣🤣🤣🤣Yaani nimeandika huku nachekaAisee una nitafutia mabalaa 🤣😀😂, acha thread ibaki salama. 🤣🤒