Malick M. Malick JF-Expert Member Joined Apr 2, 2013 Posts 658 Reaction score 314 Jul 17, 2013 #1 Jamani leo jioni kutakuwa na show ya tv ya mabox,nimeshajenga Kibanda,kibatari ninacho,mje na mafuta ya taa wana CC, ndio kiingilio,nimeshachonga vikatuni vingi sana,tutaangalia show mbali mbali,leo kuanzia saa moja usiku "VV"
Jamani leo jioni kutakuwa na show ya tv ya mabox,nimeshajenga Kibanda,kibatari ninacho,mje na mafuta ya taa wana CC, ndio kiingilio,nimeshachonga vikatuni vingi sana,tutaangalia show mbali mbali,leo kuanzia saa moja usiku "VV"
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,738 Jul 17, 2013 #2 heeeee!!!!!!!! huku bongo hatutumii tena mafuta ya taa jamani yamepanda bei, sema tuje na vijinga vya moto labda.
heeeee!!!!!!!! huku bongo hatutumii tena mafuta ya taa jamani yamepanda bei, sema tuje na vijinga vya moto labda.
Paloma JF-Expert Member Joined Jan 22, 2008 Posts 5,331 Reaction score 4,956 Jul 17, 2013 #3 mhhh labda taa za kichina zimejaa kibao, mabarabarani, mpka vituoni zimetandazwa....zingine zina hadi remote! umenisoma Mamndenyi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mhhh labda taa za kichina zimejaa kibao, mabarabarani, mpka vituoni zimetandazwa....zingine zina hadi remote! umenisoma Mamndenyi
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,738 Jul 17, 2013 #4 Hapo labda, naona hawa madogo wanataka kutufundisha mchezo wa kujificha, daaah. Paloma said: mhhh labda taa za kichina zimejaa kibao, mabarabarani, mpka vituoni zimetandazwa....zingine zina hadi remote! umenisoma Mamndenyi Click to expand...
Hapo labda, naona hawa madogo wanataka kutufundisha mchezo wa kujificha, daaah. Paloma said: mhhh labda taa za kichina zimejaa kibao, mabarabarani, mpka vituoni zimetandazwa....zingine zina hadi remote! umenisoma Mamndenyi Click to expand...
Malick M. Malick JF-Expert Member Joined Apr 2, 2013 Posts 658 Reaction score 314 Jul 17, 2013 Thread starter #5 Ya zamani DHAHABU CC mamndenyi