Show ya Rick Rozay ndani ya Dar!

Show ya Rick Rozay ndani ya Dar!

MR.LEO

Senior Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
129
Reaction score
25
Jamani,nimesikia tetesi zimezagaa huku uswahilini kwetu kwamba kiasi cha hela alicholipwa Rick Ross ni milion 460 wakati wasanii wetu wa bongo walioshiriki kwenye show hiyo ya Fiesta walilipwa kiasi cha laki 7 kila mmoja.

Hii ni sawa kweli wadau? Wenye details tunaomba mtujuze!
 
Fuatilia tweets zake, right alipomaliza show na kusepa..
 
Back
Top Bottom