SHow ya Diamond si mchezo totoz ziling'aaje??

hata mie nimeviona, ni uchafu mkubwa sana lazima na joto la Dar lilivyo sasa hivi kwa uzaidi ni ananuka> ka handbag kama deodorant kuzuia ila lazima anakimbilia chooni kupangusa na maji na kuanza tena

Duh hii aibu.


Ha ha ha haaaaaaaa Duuuuh...
 
mwanamke mzima kashindwa kunyoa nywele za kwapa? sasa huko kunako si ni tabu tupu.

Kunyoa ni suna yakheeeee! hizo za kikwapa zinaachwa ili kutathmini mwonekano wa maeneo mengine yenye nyele
 
Kunyoa ni suna yakheeeee! hizo za kikwapa zinaachwa ili kutathmini mwonekano wa maeneo mengine yenye nyele

Kosa kasahau kuweka relaxer au kuweka weave manake texture ya za kichwani na za hapo pengine hazilingani! :lol:
 
DSC_0312.JPG
DSC_0448.JPG

kuku wa kienyeji hata akijipamba utamjua tu!
 
duuuuuuuuuh , mi napenda sana mtoto akivaa kimin basi awe alhamdulilah kwenye makanyagio, sasa hawa uzuri wa sura lkn ktk usafiri hakuna kitu woooote hao.
 
On a serious note lakini....Wema is a cuttie ila naye kajiachia sana kanenepeana mi-stretch marks imemjaa angepunguza mapaja hayo kidogo na masaburi angekuwa swafiii kabisa
 

Napata shida sana kuona mleta mada anasifu kua eti pec hizi hawa wauza sura wamependeza!jamani tumepeleka wapi tamaduni zetu mwanamke anajidhalilisha hivi unasema kapendeza?hivi hii siolaana?anatembea uchi unamsifu?miaka 20 mbele iko hatari watavaa chupi na kupanda nayo jukwaani coz wanafanya vile muvipendavyo kuona ili kuteka nyoyo zenu kwao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom