Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,509
- 145,977
Duuh Dume la Nyani haliogopi umande, kama leo Umesifia basi kweli Mary ni Mzuri!!
Seriously kuna watu watahis umeandika ili kuwanunisha wengine, sema nn Dume la Nyani haliogopi Umande.
Utakuta !!!Utakuta jina sio Mary eeeh
Utakuta jina sio Mary eeeh au kapindisha mengine
Duuh Dume la Nyani haliogopi umande, kama leo Umesifia basi kweli Mary ni Mzuri!!
Seriously kuna watu watahis umeandika ili kuwanunisha wengine, sema nn Dume la Nyani haliogopi Umande.
Hey Coco....
Seriously, jina lake ni Mary kweli.
Aisee Coco....acha kabisa.
Huwa sisifiagi tu hovyo hovyo ila hapa sina jinsi....
Mary from Brooklyn....
Sawasawa Mwenyekiti, ponda mali kifo chaja, namali zenyewe ndo izi totoz nzuri nzuri like Mary!!Naah
Sinaga hayo ya kununisha nisiowajua na nisiowaona.
Hii ni kweli kabisa 100%.
Ha ha haaaaa
Haya weee
So umemsarandia na maneno au umemucha akupite.. ila usije tu kuwapa wivu mademu wa humu na post yako hii..
I got her number and she has mine....
Next episode will be at Rumi’s Kitchen...
Ngoja pakikucha Tutaona Hali ya hewa kama ni Mvua zenye ngurumo pamoja na Radi ? Au mawingu yenye viwango vidogo dogo vya jua[emoji23]Ha ha haaaaa
Haya weee
So umemsarandia na maneno au umemucha akupite.. ila usije tu kuwapa wivu mademu wa humu na post yako hii..
Sawasawa Mwenyekiti, ponda mali kifo chaja, namali zenyewe ndo izi totoz nzuri nzuri like Mary!!
Safi sana enjoy
Atakusaidia kulea mwanao na muongeze wengine. Kila la kheri
Ngoja pakikucha Tutaona Hali ya hewa kama ni Mvua zenye ngurumo pamoja na Radi ? Au mawingu yenye viwango vidogo dogo vya jua[emoji23]
Unajaribu kusema kua Watu watasoma kimya kimya ili Hali yahewa ionekane shwari???Hali ya hewa isipochafuka naandamana.
Ila kwa vile nishadokeza kuandamana ili ku prove a point, wachafuzi wanaweza wasiichafue.
We shall see.
But who the hell cares....whatever floats their boats...
Unajaribu kusema kua Watu watasoma kimya kimya ili Hali yahewa ionekane shwari???
Weee jamaa utapelekea kuchafuka kwa hali ya hewa ya ndan kwa ndani .nahii mbaya sana !!!
Sema nn...Dume la Nyani Haliogopagi Umande !!
Sure ,kula zako Raha na Mary wako asee ..mambo mengine baadaeHali ya hewa kuchafuka nyuma ya keyboards hakunikoseshi lepe la usingizi.
I’m old school.
If someone got a problem with me, come see me face to face so we can shoot the fair one.
If they can’t, they are pussies.
As simple as that.
But this is about Mary from Brooklyn.
Not JF whores and/ or losers.
Let’s not go off topic, please.
Sure ,kula zako Raha na Mary wako asee ..mambo mengine baadae
Nyuma ya keyboard hapawezi kuondoa ukweli kua "Mary ni Mwanamke Mzuri from brooklyn"
Nalazima ungeandika tu kama ilivyo wengine wanavyoandikiana humuhumu.