Mke/mume ni tabia, wakati huohuo uwe tayari kuoa/kuolewa na huyo ulie nae. Tatizo ni kwamba.....Before marriages all our emotions zinakuwa zimekufa. Sasa itafika point ambayo emotions zitaanza kufufuka, hapo ndipo kazi marumbano yanaanza. Emotions hufufuka kutegemeana na wanandoa walivyozizika hizo emosions. Uzikaji hutofautiana, maana kuna wengine huzizika moja kwa moja na haziji fufuka, ila kunawengine huzizika (sijui miguu huwa nje) kwa mwezi, zina kuwa zimefufuka
Nikiangalia umri wangu unakimbilia 30, nikifikilia mke wangu atakuwaje huku nikishuhudia baadhi ya matukio ya ndoa BASI huwa namwambia Mungu "Wewe ndie unaeweza, naimani utanipa mke ambae tutasaidiana katika vitu vyote ..............................."
Nilikuwa nafikilia nikioa niweke "Marriage constitution". Na hii constitution iwe inafahamika na pande zote mbili, mimi na huyo mke wangu. Na iwe imeandaliwa kabla ya ndoa. Na tuwe tumeandaa wote wawili, tukiweka na adhabu pale mtu avunjapo....
Wana JF ninachowaza kinawezekana au?
Ba Mkubwa,umesikia FL1 ana discount ya 20% leo kwenye banda lake la mama ntilie? nashauri twende kabla haya mambo hayajatuchanganya kabisa....
...aisee mbona unataka kuharibu sura za watoto bana? mbaya zaidi wageni wakija nyumbani watamkonfyuzi mama watoto na 'hausigeli'...
Haya mambo ya ndoa ukifikiri sana yanachanganya, muhimu pata mtu mliopendana na kufanana kitabia kazi kwishaa.
Hapo ndipo inapokuwa ngumu. Unaweza kutafuta mpaka umri unapita. By the way Nimeipenda hiyo Pretty is senorita kwenye avatar yako. Ni 75%uhakika wa jinsia yako. Hahahaha!
Mbona una imani mbaya mkuu? siyo kwamba ma HG ni wabaya kwa sura.
Ndoa/Mahusiano ya wakati huu kusema kweli yamekuwa magumu kuliko yale ya enzi za wazee wetu (at least ndivyo ninavyoamini mimi). Hali hii imenifanya niwe nawaza kwa mtindo wa what if angekuwa vile na si hivi. Nikajikuta nashawishika kuamini pengine ingekuwa tofauti ingawa sina uhakika.
Kwa kuwa nimeshuhudia miparanganyiko kwa couple ambazo either mmoja au wote wa wenzi hao ni kama ni:
mwanamke:
Ni mrembo wa sura, msomi, anakazi na kipato kizuri au ametoka katika familia bora kifupi ni mtu ambaye ni BORA.
Mwanaume:
Ni mzuri wa sura aka handsome/ana kazi nzuri na kipato kizuri/famous anajulikana na yeye mambo safi
couple nyingi zenye combinations za namna hii au mmoja anayo sifa ya aina hii ( kwa experience yangu) huwa zinatend kuwa na migogoro ya mara kwa mara hadi nafikia kuamini kuwa ni bora tunapochagua wenzi tukajaribu kuavoid extremes i.e. msichaguane wazuri sana, wasomi sana, mwenye kipato sana au anayejulikana sana (after all hii itasaidia kupunguza gap kati ya haves and have-nots no?)
au najidanganya?
Naomba mnisaidieš±
mambo magumu sana haya.............!Ndoa/Mahusiano ya wakati huu kusema kweli yamekuwa magumu kuliko yale ya enzi za wazee wetu (at least ndivyo ninavyoamini mimi). Hali hii imenifanya niwe nawaza kwa mtindo wa what if angekuwa vile na si hivi. Nikajikuta nashawishika kuamini pengine ingekuwa tofauti ingawa sina uhakika.
Kwa kuwa nimeshuhudia miparanganyiko kwa couple ambazo either mmoja au wote wa wenzi hao ni kama ni:
mwanamke:
Ni mrembo wa sura, msomi, anakazi na kipato kizuri au ametoka katika familia bora kifupi ni mtu ambaye ni BORA.
Mwanaume:
Ni mzuri wa sura aka handsome/ana kazi nzuri na kipato kizuri/famous anajulikana na yeye mambo safi
couple nyingi zenye combinations za namna hii au mmoja anayo sifa ya aina hii ( kwa experience yangu) huwa zinatend kuwa na migogoro ya mara kwa mara hadi nafikia kuamini kuwa ni bora tunapochagua wenzi tukajaribu kuavoid extremes i.e. msichaguane wazuri sana, wasomi sana, mwenye kipato sana au anayejulikana sana (after all hii itasaidia kupunguza gap kati ya haves and have-nots no?)
au najidanganya?
Naomba mnisaidieš±
mambo magumu sana haya.............!
''the king'' ana dawa moja tu pale mambo yanapokwenda mrama......INFIDELITY:smile::smile::smile:
...aisee mbona unataka kuharibu sura za watoto bana? mbaya zaidi wageni wakija nyumbani watamkonfyuzi mama watoto na 'hausigeli'...
We baba acha ubaguzi lol kwa hiyo sie wenye sura mbaya tusiolewe mwe?
mambo magumu sana haya.............!
''the king'' ana dawa moja tu pale mambo yanapokwenda mrama......INFIDELITY:smile::smile::smile:
dah!Mimi napenda rangi nyekundu
Hii gari ya mama
Kweli mkuu maana ukifikilia sana kuhusu mke wako mtarajiwa unajikuta hata kumalizia kazi ni shughuri. Mbaya zaidi ni pale uonapo ndoa zinavunjika.
Kama mpenzi wako mnatofautiana hivi, je akiwa mke itakuwaje?...jamani niende wapi
....
Marriage is a complex relationship that involves 2 (wengine 3,4,5,6,..) people of different
1. Sex
2. Age
3. background and
4. Mtazamo......hapo ndipo pana shughuri. The way we define......
Yote tisa, kumi tutafanyaje jamani? Tusaidie mliopo kwenye ndoa hasa ambazo hazina mikiki mingi....natambua huwezi inga jinsi ndoa ya Mr X inavyoendeshwa maana hampo sawa, mnatofautiana hata wake zenu wanatofautiana.Lakini kama ukapata mwanga jinsi jamaa anavyoishi na wife, basi unaweza ukabuni.....
Kiukweli mwanamke ndiye anaeweza kuisimamisha ndoa au kuivunja period....... wamama zetu zamani walikua wavumilivu mno akiachwa na njaa hujui na alikua hata anaweza kuletewa mwanamke ndani anashushwa kitandani wanalala baba na hawala yake na asubuhi unawatengea chai na maji ya kuoga na bado husikii kwa jirani linabaki kuwa siri na wala mama hanuni so mwanamama ukiamua kuwa cool mambo lazima yaende byeeeeeeeeeeeeeee kwenye hiyo ndoa
Hivi kumbe una sura mbaya?:nono::nono::nono:
Siku hizi kinawashinda nini kufuata nyayo za kina mama wa zamani ili ndoa zenu zidumu?
Follow your heart..............................your conscience will never lie to you........that is a fact.............mengine yote ni hayana uzito..........ingawaje ninakubaliana na wewe kuwa mahusiano ni kutoshelezana na mkifanana sana kuchokana ni rahisi kwa sababu hamtaweza kujaliziana maeneo yenye mapungufu kwenu...............the strength of a relationship lies in diversity but not conformity..............couple nyingi zenye combinations za namna hii au mmoja anayo sifa ya aina hii ( kwa experience yangu) huwa zinatend kuwa na migogoro ya mara kwa mara hadi nafikia kuamini kuwa ni bora tunapochagua wenzi tukajaribu kuavoid extremes i.e. msichaguane wazuri sana, wasomi sana, mwenye kipato sana au anayejulikana sana (after all hii itasaidia kupunguza gap kati ya haves and have-nots no?)
au najidanganya?Naomba mnisaidieš±
Yeah ndo maana mm msimamo wangu wa kuoa mwanamke mwenye sura mbaya na kavu kama anapuliza moto wenye Moshi mkali upo pale pale ukioa mrembo Mapapa au Mapedeshee wanaanza kukugongea aku hivi hivi ya nn ufe kwa kiholo MJ1,Nyamayao?