Should men wear thongs? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Should men wear thongs?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kibongoto, Aug 10, 2009.

 1. K

  Kibongoto JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2009
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  A new fashion trend, men in thongs, has hit Kampala. As seen in the photos, these youth paraded their under garments
  around Kampala. When buying a thong, one should feel that strip of cloth that is supposed to go between the buttocks.:eek:
   

  Attached Files:

 2. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Duh!...kasheshe
   
 3. Mtabiri

  Mtabiri Senior Member

  #3
  Aug 10, 2009
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hm, Kazi kwelikweli!
   
 4. M

  Magezi JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Kazi imeanza, waganda muwe waangalifu ukimwi ulianzia kwenu na mkatuua kweli sisi wa kagera, sasa mmeanza na vichupi vya ajabu.
   
 5. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kwa nini watu hao wanavaa hiyo "chupi-kamba"? Eti kuna nini cha pekee kwenye hicho kivazi?
   
 6. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2009
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,125
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
  Men wearing thongs!. Wow they will end up puting on bra too!.
   
 7. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Hivi huko uganda si ndo mashoga wamekuwa na 'movement' yao wakitaka ushoga uhalalishwa kisheria?
   
 8. M

  Mundu JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2009
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Nini thongs, hata shwanga mtu akitaka kuvaa na avae tu! Kani nini bana. Kazi ya vivazi hivi ni kustiri maungo ya ndani period!! Ila hupashwi kuonesha hadharani kama huyo jamaa.
   
 9. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Astaghafurilahi, kweli dunia imekwisha. Sasa ushogo ndo unatangazwa bila ya haya, hata hapa JF? Idd Amin angekuwepo angekata watu vichwa wengi sana
   
 10. m

  mpangwa1 JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2009
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  tumekwisha!!!!!!
   
 11. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #11
  Aug 11, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,579
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Kuna wakati mwingine ninapata mawazo kuwa mila na desturi zetu waafrika zinateketea kwa kasi kupita jinsi tunavyoweza kuelewa au kuona. Hujiuliza wakati mwingine kuwa huenda inabidi kuanzisha somo la Mila na Desturi katika shule za msingi na sekondari nini?? Kuelezea ubora wa mila zetu vs za Ulaya na pengineko??
  Maana hata kina dada kama isingelikuwa vijana wa kihuni kukemea na kutishia kuwavua nguo jijini, wapo ambao wanatujia na vijisket ambavyo inabidi azomewe mpaka anajisikia aibu na walioonja hiyo joto ya jiwe huwa hawarudii tena.
   
Loading...