Bora umejibu mwenyewe NN
Nilitaka kumwambia Mpangwa1 atofautishe mambo 2
1. Ndoa
2. Mtoto/watoto
Haya mambo hayana uhusiano wowote, pia ndoa haina definition, labda kutumia definition ya imani za kidini ambazo anazo hazina mshiko kwa sasa.
Mimi niliingia labour ward nikiwa na umri mdogo sana (chini ya miaka 15) kimakosa nasisitiza kimakosa. Niliyoyashuhudia wakati huo, nadhani kila mtu (hasa mwanaume) aingie kwa hiari yake. Nilijifunza kuwa mazingira ya labour wards ndio yanafanya baadhi ya wakunga kuwa fyatu fyatu
Mpangwa1, unaona mimi sikuwa na ndoa na wala sikuwa nakwenda kuzaa na niliingia, any connection kwenye hoja yako?
Hata mie mwenyewe niliwahi kuingia delivery room, sikwenda kuzaa ila shost wangu alienda kujifungua.
Niliyoyakuta huko sikuweza kuamini japo mwanamke, toka siku hiyo nina uoga wa kuzaa asikwambie mtu. Kwa upande wa mwanaume kwa hiyari yake anaweza kwenda au lah!!I think is better u guys to go there labda inaweza kuwafanya kuwaheshimu wake zenu.
akuambie nani?Subiri sasa zamu yako ndo utakuja utusimulie vizuri hapa ndani,mi nitaenda tu kama nitaambiwa nikienda itaongeza ladha ya kumegana tu!!
Subiri sasa zamu yako ndo utakuja utusimulie vizuri hapa ndani,mi nitaenda tu kama nitaambiwa nikienda itaongeza ladha ya kumegana tu!!
Mawazo ni kumegana tu!!!Mhhhhhhhh.
akuambie nani?
umechemsha... hatakuja kukuambia hapa... ni juu yako wewe kufanya uchunguzi kwa mtu wako ujue inalipa utakavyo wewe.Pretty ndo nilimwambia cku akitoka huko aleta habari hapa.
umechemsha... hatakuja kukuambia hapa... ni juu yako wewe kufanya uchunguzi kwa mtu wako ujue inalipa utakavyo wewe.
Hata mie mwenyewe niliwahi kuingia delivery room, sikwenda kuzaa ila shost wangu alienda kujifungua.
Niliyoyakuta huko sikuweza kuamini japo mwanamke, toka siku hiyo nina uoga wa kuzaa asikwambie mtu. Kwa upande wa mwanaume kwa hiyari yake anaweza kwenda au lah!!I think is better u guys to go there labda inaweza kuwafanya kuwaheshimu wake zenu.
Mi mwenyewe nilikwenda wakati binti yangu anazaliwa, nilikuwepo kuanzia zile preliminary process za kupima njia, kutundikiwa Drip ya maji ya uchungu, kuona kile kimkanda wanachovalishwa tumboni kilichokua connected kwenye mashine ya ku monitor mapigo ya moyo ya mtoto, mpaka chupa kupasuka nilikuwepo.
katika delivery process nilikuwepo mpaka nywele za mtoto zikawa ninaonekana lakini mtoto akawa anatoa kichwa kidogo na kurudisha, Nilitishika sana wanilisikia manesi wakisema kua mke wangu ameishiwa nguvu na hawezi tena kusukuma, kwa sababu uchungu ulikua masaa 9 kuanzia saa 3 asubuhu mpaka saa 2 usiku. Hapo manesi wakanitoa nje na baada ya dk25 nikasikia mtoto analia.
Nilivyokuja kumuuliza ilikuaje mbona nilipotoka tu mtoto alitoka, wife akaniambia walimwongeza njia kwa kisu. Tangu siku hiyo naheshimu sana wanawake na nimekua na mtizamo tofauti kabisa kwa wanawake.
Ila sipendi tena kushuhudia hiyo process. It is to dificult. Naona ni vyema wanaume walazimishwe kushuhudia angalau mara moja katika maisha yao, hii itawaadabisha wanaume wanaowanyanyasa wanawake.
October sina la kuongeza hapa ila nimejikuta machozi yananitoka
i feel it
Pole!
thanks mvina unajua kama umeumwa uchungu sana at last mtoto akashindwa kutoka duuh ni balaa we acha tu asikwambie mtu unaweza tamani usizae tena ..ila sir god katuwekea siri sijui ni kusahau au...
wanaume waliowahi kuingia watupe maoni yao..hii itasaidia zaidi kujua kama waendelee kuona au wazuiliwe.
mie wangu aliingia kwa katoto ka mwisho, anasema anajuta kwanini aliingia na alitamani awaambie ma doc wanifanyie operation, na amaetokea kumpenda sana huyo mtoto mana alimshuhudia kuingia kwake duniani, ilimshtua/aliogopa mpaka akasema hawa wawili tulionao wanatosha na ile ctuation imemfanya awe na huruma zaidi, hata tukikutana na mama mjamzito mahali huwa anamuonea huruma sana na kusema Mungu amsaidie amalize safari yake salama....me kwa upande wangu nilifurahi alivyoshuhudia mana alinidekeza sana kwa wakati ule...lol
This mIraculous process has an effect on attitudes and behaviour not only of men but also women.Wanawake wengi wakishazaa huwa na heshima zaidi na upendo mkubwa kwa mama zao.