Should Kenya and Tanzania merge?

Smatta

I wonder Y Kenyans are so apologetic on this issue. Sisi waTZ tumeshasema NO to the EA. You guys need to GET OVER IT. Rite?
 
Last edited by a moderator:
Mimi nashangaa sana, mara zote wakenya wanalazimisha vitu tu wakati sisi hatutaki. hivi unafikiri kama hata rais wa tz ataamua tujiunge wakati wananchi hatutaki, kitaendelea nini kama si kupigana ngumi mtaani?

Kitu kingine, huwa sipati jibu, kuna jamaa hapo juu ameandika at wao wakenya ni superior kuliko sisi, sisi ni infirior kwao, sijaelewa anamaanisha nini, ndo hapo huwa nacheka hadi nadondoka chini. nimekuwepo kenya mara nyingi sana hadi kiswahili changu nusu kibadilike kiwe cha kikenya, nimeona umasikini wa kutupwa ambao hata hapa bongo hatuna, leo hii zaidi ya watu million 10 kwenya hawajui kesho watakula nini.

Elimu yao yenyewe wanayosema sisi tuko nyuma, wanafika form four wanaenda chuo, sisi tunakamua hadi form six kwanza kama uganda. ndio maana hapa university ya Dar wakenya wachache sana kwasababu haipokei watu wa form four hata kama watatoka nje.

Anaposema, mzeven alisema they can do better with the EAC without Tz, hakuna kitu chochote ambacho tz inafaidika toka uganda, basi waliokuwa na sauti ya kuongea hivyo wangekuwa wakenya ambao at least tumefaidika nao kidogo. Uganda ndio wageni kabisa na tz, kenya pamoja na kwamba tunapingana kidogo lakini wamekuwa wenzetu muda mwingi.

Landlocked Uganda hawatakiwi kuwa na sauti hivyo kwetu kwasababu kwanza tuliwakomboa toka kwa id amini, wao walishindwa, tuliwaokoa kabisaa. sasa sauti hiyo wanaitoa wapi? watu hawana bahari, watu landlocked hata madini hawana kwanza, uganda masikini kuliko hata tz, iyo sauti wanaitoa wapi? sisi kama wakiona vipi, tutajiunga na Sadc, na uhusiano wetu na rwanda na Burundi uko palepale kwasababu wao wanatutegemea sisi.

Wewe unaesema China ni wabaya, you are biased. hiyo ni myth ambayo western countries kama Marekani etc wamewalisha watu duniani. kumbe wao ndio sumu kali ya kuikimbia kabisa.

Wamepambana na china wameona wameshindwa wameamua kuwaita watu wabaya wanaoua maendeleo. kwani wao wamarekani hawaui nchi zetu? kwanza wawekezaji wakubwa wa nchi ya China si wachina ni Wamarekani na nchi za ulaya na Japan. hao ndio wenye makampuni makubwa yenye hisa ulaya na Marekani. sasa wakisema china wabaya wakati wao ndio wakwanza kuwekeza china wanakuwa wanafiki. kama kuna bidhaa feki wanatengeneza wazungu hao hao.

Sisi na china, tumejenga tazara railway, uwanja wetu pia, na mambo mengi. na nafikiri tz itazamie far east kama japan, china,korea,malaysia and the arab countries than western countries. kwasababu western countries wametusaidia nini hadi leo, there is no mutual benefit we get out of them.

Kwa kumalizia, nafikiri only Kenyans can have a mouth to speak to us kama tuna argue kitu chochote, Uganda hawana kwasababu sisi ni wakombozi wao, Rwanda na Burundi tumewahifadhi ukimbizini hapa hadi wamejua kiswahili kizuri kuliko hata wakenya.

Congo ndo kabisaa. Ningefurahi kama kungekuwa na EA without Kenya. kama itakuwepo federation, M7 asahau, asifikiri anavyowaendesha waganda atatuendesha na sisi. kama wanaona sisi hatuna maana, wachukue taimu, waendelee. sisi nasi tuna mambo yetu. period.
 
punguza matusi, tukianza matusi mwa tu ban wiki kadhaa, nanyi mwatukanana tu bila hata haya.. sawa, nyinyi ndio mmeendelea EA mzima, waskia raha?

Unaonekana ukweli umekuingia sawasawa, maana ukweli huuma.. Hapo hamna tusi hata moja dugu . Nilikuwa nakukumbusha wewe na wenzako, how SUPERIOR is your great country! :D

the facts on the ground prove alot.. you have a weak economy, weaker currency, weakest citizenry, and the list goes on.. dah, na bado mwapiga kifua mkituangalia.. hata haya hamna..

Hakuna mTZ anayejipiga kifua, because as I said earlier, we are realists, and we know we have a lot to improve FOR OUR COUNTRY. Ninyi wakenya munataka kuleta njaa zenu huku na kujifanya 'wawekezaji' wakati ni watapeli wazoefu ! Hebu ona wajamaa wenzako hapa:

http://www.theeastafrican.co.ke/news/-/2558/525864/-/rku508z/-/index.html

One more thing, suala la currency inawezekana kweli tuna weak currency, and so as your great country. I bet Kenyan sh is 'stronger' than Japanese Yen, but yet Kenya is millions times POORER than Japan. If this is your scale of comparison, Kenyans' problems of reasoning become more apparent.
 
Dr Mtindio vipi......kuna tofauti gani na tz? rinchi rako mpaka wapiga debe wachina....

Sasa hapo kama over 60 % ya wamiliki uchumi ni wageni, huko ktk nchi yao wenyewe, wewe huoni ni kiinimacho kwa hawa jamaa kutaka kuja kwetu 'kuwekeza' wakati hawana kitu? Huku si ndo kuambukizana ukurutu tu?
 
Like I've said elsewhere people, call each other all kinds of names but at the end of the day Tanzania and Kenya need each other as brothers of the same parents care of each other.
 
Kenya and Somalia have a lot in common besides they share border also ! I think they should merge those two countries
 
Kenya and Somalia have a lot in common besides they share border also ! I think they should merge those two countries
Rufiji,
Somalia is no longer a nation. Culturally Tanzania and Kenya are much closer.
 
Koba

Mr Koba I am not arguing against unity, but against unity in the form of "love" as you want to put it.Inaelekea you are falling for the federation bug without hesitation and precharted out strategies.

We want a win-win economical federation not the tapeli type of the 60's and 70's.

Hapakuwa na kudhulumiana? Dr Umbricth dealt with that fror several years after the break up of the EAC-history proves that to be a fact.

mr Koba unafikiri break up ya EAC ilikuwa ni siasa tu? It was more than that, Kenya had and still has a more developed economy as compared to its neighbours-yhats a fact.It will be really stupid to enter into a union without our self interests at heart.

I doubt your wisdom of entering into a union that will again transform the Tanzania economy into a buyers market for goods from other EA countries.
Lets forge the trade tarriffs and exchange of goods from one country to the next and vise-versa.

But above all lets have common democratic principles to adhere to.

Comparing Tarime to the Kenya crisis is like comparing a storm in a tea cup to a political tsunami.The Kenya crisis almost spilt over its borders, not that we did not sympathise -far from it.

What we are trying to advocate for the rural poor Tanzanians is that, without adequate and well intended preparations, most will lose out.
Above all lets not fall in love with the federation issue just for the sake of it, we have to think.
 
Last edited by a moderator:
Thanks a lot for doing us a favor and think that way.We have no intention whatsoever to join with you anyways.There is absolute nothing which you can give us by the way.

This is not the 80's,when we were really in trouble because of the war we had with lddi Amin but boy we have moved on if you have not noticed.Our economy is growing faster than yours by far.And that was before we discovered oil,well,you can notice we really don't need you,you can keep your Mathare and let us keep our Dar.

We are not Ugandans who rely on you,we have got our port,airports and everything else we need to become the new east african hub.I wish all Kenyans thought like you.
 
Koba

Ni vyema, maana "Some people are born great, others acquire greatness and others have greatness thrust upon them"

Ninakutakia kila la kheri na mawazo yako yasiyokuwa ya porini.
 
Last edited by a moderator:
Tanzania haitajengeka CCM ikiwa madarakani. Tuivunje kwanza CCM na sera zake za kuuza nchi ndipo Tanzania huru itakapozaliwa.

CCM itavunjika pale mtakapoweza kuuhamisha mlima kilimanjaro kutoka Tanzania na kuupeleka Uganda.
Tanzania itajengeka CCM ikiwa madarakani maana hadi 2050 CCM itakuwa inatawala Tanzania.
CCM haina sera za kuuza nchi ila baadhi "yenu" mna sera za kimajimbo za kuigawanya Tanzania kiukabila 'mshindwe na mlegee'.
 
I guess I was wrong. It seems that alot of members wa Jamii Forums have taken it to heart.

I hope that you realize that this kind of a merge is not possible. It does not matter the argument, whether FOR or AGAINST the idea.

These are 2 sovereign countries. To merge so that who can be the President...POWER HUNGRY Politicians will never agree to that. the constitutions of these countries will not allow such. In Kenya bado tuna subiri Katiba mpya. So you all can rest assured it aint gonna happen anytime soon. Maybe the year 2100. As for United States of Africa...What a nice dream Or is it a nightmare?

So lets cut out all that vitriol and mud slinging and look for topics/ideas that build and encourage. Ideas that can be borrowed fro m one country to another.

You all can argue till tomorrow, lakini wapi?

As for Mt. Kilimanjaro, we all know to these white folks/majority of the tourist don't kow diddly sqautt about Africa let alone territories and landmarks. They all think Africa is one big country. So while this argument is raging on, they are still assuming that Mt. Kilimanjaro is in Kenya, and that Africa is as hot as hell(yaani the sun is right outside your back yard), peolpe learn English on transit, and slew of other thing.

Lets start by enlightening ourselves, each other and the rest of the world.

Let us focus on our positves, calling out the negative things about any country is not gonna help nobody.

Just creating bad blood!! for what reason?
SAD but TRUE we are neighbours. and unless someone has the technology ya kuhamisha mipaka? I'm afraid we are stuck to each other like Siamese twins. So to you all get over it.
 
Mtake msitake mtaingia tuu,bora hii process iko wazi, Nyerere alituingiza na Zanzibar bila kuuliza swali kapuku yeyote na hakuna mpaka leo anayejua kwanini Nyerere alifanya Union na mmebaki na consipiracy za mtaani tuu eti alikuwa anazuia sultani asirudi, nyie jifurahisheni tuu humu lakini nawahakikishia Fed inakuja na kuna watu wanafnaya kazi day/night kukamilisha mambo na muache hiyo weak argument yenu eti Kenya ameendelea sana atatufanya soko lake hivi hamjui mpaka sasa nyie ndio soko kubwa la wakenya,anyway FED inakuja acheni matusi.
 
ommari08
If that will make you sleep at night, suit yourself.. You need to check on yourself coz you are suffering from a complex that is not easily cured.. inferior or superiority complex.

You guys are talking as if the ordinary Kenyan mwananchi wants our countries to be united.. to tell you the blunt truth, Kenyans just dont care about this issues, we have far more pressing stuff to do.. I once said that the only things Kenyans import from TZ is Bongo flava, white dent, and waganga kutoka Tanga.. period.. no more, no less.

Quit talking as if we are begging for space in your country, we have our own.. labda mpate oil we come and exploit it.. ask mererani, they know very well how we manipulate their uneducated lot.
 
Last edited by a moderator:
By raeding this thread you would think Kenya is one big mess of a country and Tanzania is land flowing with milk and honey where everone wants to go live, where there are absolutely no poverty, poverty is only in Kenya, not in tz where there is gold oil and gas, only in Kenya that doesnt have all those mineral, very hailariou, no one mentions that Kenya is where it is today by the shere hard work of Kenyan and not by free things dug from the ground like other countries.

Think about that before starting to brag about your minerals, we will do without those thank you.
 
By raeding this thread you would think kenya is one big mess of a country and tanzsania is land flowing with milk and honey where everone wants to go live, where there are absolutely no poverty, poverty is only in kenya , not in tz where there is gold oil and gas, only in kenya that doesnt have all those mineral,,,,,,,,,,,,,,, very hailariou,

The only hilarious story I see here is 'wawekezaji' have been told a good lesson on how their 'superior' country is doing 'good' economically .So don't play victim here.

Kenya belongs to Kenyans, same as Tanzania belongs to Wabongo. Yes, we have minerals, gas and so many other resources. IT IS OURS. We do whatever we like with it.

no one mentions that kenya is where it is today by the shere hard work of kenyan and not by free things dug from the ground like other countries...... think about that before starting to brag about your minerals,,,,, we will do without those thank you!!!!!!


It will be better for you to accept the facts:: and the facts are; Kenya is no better than Tz and your fraudulent country can inject NOTHING to VERY LITTLE to OUR ECONOMY. Our government have realised that much earlier and thats why we are pegging any move to fasten blind date with fraudsters.

Whatever happens to your poor country is your problem & your fault. Whether you envy us or not, does not concern us, as our resources are OURS and we will never let them to fall into fraudulent hands of poor people who pretend to be 'wawekezaji'
 
Koba

I fail to get your argument sir, maana sana sana naona unapiga debe na siyo kuargue the pros and cons.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom