PRECIOUSDOE
Senior Member
- Feb 3, 2009
- 114
- 12
- Thread starter
-
- #21
Tupe mambo sasa Pretaasante mpendwa......kizungu bana saa ingine kigumu haswa kwa sisi tuliozaliwa tukajikuta tunaongea lugha ya mama.....sasa nimeelewa
ayaaaaa.........no....but lazima kuna sababu.......lakini hata wao wanaume si wanatufanyiaga hivyo hivyo bana......mpaka tunajitoa uhai....kwa hiyo si mbaya sana we nenda kale mikuku huko kwa raha zako
Haataa wewe? Temea mate chini.
Niliogopa kusema toka mwanzo hapo ndo niliposhindwa mimina wewe unachanganya mno kidhungu du hadi maana halisi inakosekana kabisa.hapo red hapor ndio nini??
yeeeees darling
siwezi temea mate chini coz hata sisi wengine yalishatukuta bahati mbaya hatukufa......tunamshukuru muumba kwa kutuumba na shoku abzoba za roho aina ya rob magic
Ulisha kula mnuso wa msiba, achana na huo wa harusi. Hukumu iskupitie bure.