Should Abortion Be Legal or Illegal In Tanzania?

Uliza Nkujibu

Uliza Nkujibu

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2016
Messages
810
Points
1,000
Age
29
Uliza Nkujibu

Uliza Nkujibu

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2016
810 1,000
Yah abortion is illegal because according to the bill of right or human right states thay every human being has right to life even a foetus who has not yet been born has also have that right to life
Feel U bro
 
Amos Enock

Amos Enock

Member
Joined
Jul 3, 2012
Messages
57
Points
95
Age
30
Amos Enock

Amos Enock

Member
Joined Jul 3, 2012
57 95
Abortion for my side must be legalized because it happened when a women get the pregnant without her will take example the issue of rape, a women can get pregnant because he was raped heath problems or complications disease and also the issue of Poverty's where by pregnancy women is Un able to care the child due to economic factors
 
Metakelfin

Metakelfin

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Messages
2,736
Points
2,000
Metakelfin

Metakelfin

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2017
2,736 2,000
kutoa mimba inaruhusiwa ila ni mpaka pale itakapothibitishwa na daktari kuwa mimba hii inaweza kumpelekea kifo mama mjamzito
 
J

Joseph lebai

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2017
Messages
2,848
Points
2,000
J

Joseph lebai

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2017
2,848 2,000
Life starts just at the moment of fertilization, then if you abort you destroy life. It's illegal. Unless otherwise apply the principle of double effect to save one life under the instruction of doctor

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamakabuzi

Kamakabuzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2007
Messages
1,534
Points
1,225
Kamakabuzi

Kamakabuzi

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2007
1,534 1,225
My point is for the sake of many death due unsafe post abortion complication it is better to legalize the practise.
Poor logic like the one being considered to legalize marijuana and related drugs that is, kwamba, kwa kuwa watumiaji wa madawa ya kulevya ni wengi, na gharama ya kudhibiti biashara hiyo inazidi kubwa na kwa kuwa wanaotumia wanaathirika kwa kufanya hivo mafichoni, basi tuhalalishe
Mwisho tutahalalisha na makosa mengi kama rushwa, wizi nk, kwamba kwa kuwa wezi wamekuwa wengi na wanahatarisha maisha yao kwa kuiba hasa usiku, basi tuhalalishe kuiba mchana!
Hoja kama hizo ndizo zilitupelekea tukaibatiza rushwa kuwa ni takrima!
Mimi nina dada zangu walibeba mimba katika mazingira wanayojua wao mama alikataa mipango ya kutoa mimba,watoto walizaliwa sasa wamekuwa msaada kwetu na kwa mama zao pia.
Katika hatari ya kifo, abortion ni sawa kwani lengo hapo si kutoa uhai bali kuokoa uhai
 
double R

double R

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Messages
1,816
Points
2,000
double R

double R

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2011
1,816 2,000

Being illegal imesaidia nini hapa kwetu. Sijawahi sikia mtu amefungwa kwa sababu ya kutoa mimba. Afadhali wezi wanafungwa. Ipo tu kwenye maandishi.
If it is illegal let lus make it serious kama Rwanda, wanafungwa.
Hapa kwetu hakuna kinachofanyika. Ni kama tume legalize kijamii ila hatujaweka kwenye maandishi.
Nimeona wengi wakiharibikiwa baada ya kutoa mimba kusikojulikana na kuishia kuleta gharama kwenye huduma za afya ambazo tungeziepuka.
 
C

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
4,727
Points
2,000
C

chilubi

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
4,727 2,000
Should be illegal! Kama sababu za ku abort ni kama hizo ulizozitaja, why have sex on the first place?

unakunywa sumu akisha unasema hutaki ikudhuru....
 
Forum statistics

Threads 1,295,933
Members 498,479
Posts 31,228,425
Top