Namshukuru sana Mungu kwa kuwa shortlisted nafasi ya compliance officer,nawaomba wanajf tuzidi kuombeana ili hatimaye wote tuibuke kidedea ktk mapambano haya ya ajira..mwenye taarifa juu ya mchakato mzima unavyoendeshwa atujuze tafadhali..

Mimi simjui mtu pspf! Wala sikua na pepa ...sikutoa hata sh.10 alaf nmeitwa!!! Inawezakana bhana tusikate tamaa tujiandae vyema kabla ya interview tusisahau kusali sana
Umegeneralize sana mkuu. Majority tunatumia simu isipokuwa inategemea simu ya aina gani. Ukiwa na Galaxy sII + au simu yeyote yenye android os kila kitu kinawezekana.