Lumbi9 JF-Expert Member Oct 12, 2014 8,638 12,061 Jun 4, 2016 #2 Amavubi said: View attachment 353653 Click to expand... anazeeka na utamu wake
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Dec 8, 2010 7,518 6,505 Jun 4, 2016 #3 Hela zinapochanganya uzeeni ni sheedah
SHIEKA JF-Expert Member Dec 20, 2011 8,240 4,263 Jun 5, 2016 #4 Usanii huu wa kuigiza mwanamke haumfai. Awaachie akina joti na wenzake
Shepherd JF-Expert Member Dec 14, 2012 2,425 1,653 Jun 5, 2016 #6 peterchoka said: anazeeka na utamu wake Click to expand... Unamanisha nini?
albuluushiy JF-Expert Member Oct 2, 2013 1,404 686 Jun 5, 2016 #7 kweli tanzania bado wajinga wengi,yaani watu wanachangia kama hii picha ni kweli wakati picha inaonyesha wazi wazi kwamba ni editing.
kweli tanzania bado wajinga wengi,yaani watu wanachangia kama hii picha ni kweli wakati picha inaonyesha wazi wazi kwamba ni editing.
Kasie Platinum Member Dec 29, 2013 22,050 40,009 Jun 5, 2016 #9 Fotoshop japo naona sigda hapo juu. Kwa mbali kama Dr. Slaa hasa hilo gwanda alilovaa.
Mtoto Wabibi JF-Expert Member Apr 29, 2016 451 294 Jun 5, 2016 #10 peterchoka said: anazeeka na utamu wake Click to expand... nmecheka sana..!! aaah hivi nyie vimisemo hivi vimisemo mnapataga wapi?
peterchoka said: anazeeka na utamu wake Click to expand... nmecheka sana..!! aaah hivi nyie vimisemo hivi vimisemo mnapataga wapi?
STUNTER JF-Expert Member Dec 15, 2015 13,075 17,237 Jun 5, 2016 #11 Amavubi said: View attachment 353653 Click to expand... ???