Shost wangu wa kwanza

Kwahiyo na ww alikupitia.
 
hizo ndimu zake hazikamuliki? na kibamia chake hakiliki?
Nimecheka hapa abiria mwenzangu kashtuka. Unanikumbusha nikiwa Primary, mapenzi ya Darasa la 6A, bint akaniuliza kama ninapotembea zile ndimu huwa zinagongana gongana kama kengele ama! Jibu nililompa nitakupiemu!
 
Napenda story za sky(natamani kweli kweli aniazime mashosti hata kwa dakika nne,umbea ni afya nitanenepa ndan ya hizo dakika)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…