Shost Flora alivyopambana

Mimi ninaye mmoja hapa, alijaribu kupiga mzinga wa 3mil. Akakosa.
Akajaribu wa 1.5mil. Akakosa
Akajaribu wa 300,000.

kakosa pia.


Sasa hiviyuko bussy kupiga mizinga ya VOCHA za bukubuku.
 
Mimi ninaye mmoja hapa, alijaribu kupiga mzinga wa 3mil. Akakosa.
Akajaribu wa 1.5mil. Akakosa
Akajaribu wa 300,000.

kakosa pia.


Sasa hiviyuko bussy kupiga mizinga ya VOCHA za bukubuku.
Huyo amekosea kawaida alipobeep 3m na kuona wrong namba angepotea mazima
 
Huyo amekosea kawaida alipobeep 3m na kuona wring namba angepotea mazima
To me, even a single coin counts.
Mazingira yanampa matumaini.
Hajui kuwa, wajasiriamali sio wa hivyo.
 
usirudie tena huo mchezo Flora
 
Hakufanya uungwana hata kidogo
Binadamu bwana basi tu
 
unaonekana sio mwandishi mzuri stori zako huwa unaishia juu juu unashindwa ku conclude km pdidy..walimu wako walipata taabu sana kwenye essay zako kuunganisha mawazo na mnyumbuliko anuwai.
Kwahiyo kwa kifupi kabisa ni kwamba hujamwelewa?

Hizi shule za siku hizi walimu wana kazi sana...
 
Bangi mbaya sana!! Hivi kudanga ndio kupambana
 
hii story kuna watu ukiwasimulia wakakuandikia itakuwa nzuri sana dada yangu.. wasiliana na waandishi wazuri wa stories humu ndani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…