Shortlist LAPF

Shortlist LAPF

kila kheri mtakaobahatika kuajiriwa hapo,jamaa hao mishahara mikubwa kazi ndoogo,yaani wanabunya tu
 
Yeah,
Sometimes wanatoaga!!

Watu wengi humu wapuuzi sana,hata kama umekosea watakuja juu kukutukana na kukushushua mi huwa nashangaa sana,huu ni ukoosefu wa hekima ,kwanini nisisahihishwe vizuri nikaeleweshwa?unadhani hapo ulipo na mm nipo hapo?unadhani chanzo changu cha habari ni sawa na ww?unadhan taarifa hizi ulivyozipata ndivyo nilivyozipata? Acheni tabia ya kushushuana bwana,mtu asahihishwe pale anapokosea siyo matusi,elimu yenu haina maana yoyote kama haiwezi kuku transform kuwa civilised!
 
Mbona umeni-quote mimi na kuanza kulalamika?
Nimekutukana wapi tena mkuu wangu?
Au umeni-quote bahati mbaya??
 
si bahati mbaya,nimeridhika na jibu ulilotoa nilitaka kueleza hisia zangu kwa walionitukana,jibu lako zuri wala sina tatizo na wewe
 
Thanks kaka.

Post mbili zinaweza kutangwazwa kwa nyakati tofauti. Wakati Post ya kwanza wanaita shortlist pengine ya pili hata deadline bado. Sasa wakati mtu akiulizia kuhusu shortlist ni vyema akawa specific about post ili kuondoa huu mkanganyiko.
Otherwise pamoja mkuu
 
Pamoja
 
Watu wengi humu wapuuzi sana,hata kama umekosea watakuja juu kukutukana na kukushushua mi huwa nashangaa sana,huu ni ukoosefu wa hekima ,kwanini nisisahihishwe vizuri nikaeleweshwa?unadhani hapo ulipo na mm nipo hapo?unadhani chanzo changu cha habari ni sawa na ww?unadhan taarifa hizi ulivyozipata ndivyo nilivyozipata? Acheni tabia ya kushushuana bwana,mtu asahihishwe pale anapokosea siyo matusi,elimu yenu haina maana yoyote kama haiwezi kuku transform kuwa civilised!
Punguza hasira mkuu, humu ndani kuna utani mwingi na utani mwingine unalenga kuliburudisha jukwaa. Ukiwa na mihasira utapunguza siku zako za kuishi bure..!
 
Ndugu zangu naomba mnijuze hayo majina yaliyokuwa shortlisted yanapatikana wapi.nawashukuru.
 
Punguza hasira mkuu, humu ndani kuna utani mwingi na utani mwingine unalenga kuliburudisha jukwaa. Ukiwa na mihasira utapunguza siku zako za kuishi bure..!

umeongea safi sana. humu kuna utani mwingi lakini mwisho wa siku mtu unaelimika, unaburudika na maisha yanasongo
 
Back
Top Bottom