Wakuu mambo vipi, kuna post PPF waliowahi kutangaza watu wakafanya application online, ni miezi takriban 3 imepita hakuna updates zozote, kwa mwenye taarifa kama watu waliitwa au nini kinachoendelea watujuze hapa jamvini.
Naomba kuwasilisha
Na vipi kuhusu LAPF wameshaita jamani? mwenye taarifa plz
Na vipi kuhusu LAPF wameshaita jamani? mwenye taarifa plz