Kenny Hill
Member
- Aug 26, 2013
- 65
- 61
ORODHA YA WATOTO WA VIGOGO WANAOFANYA KAZI BOT
Filbert Sumaye,
Beatrice Bomani,
Pamela Lowassa,
Zacharia Kawawa,
Salama Mwinyi,
Salama Mahita,
Rachel Msekwa,
Jane Sitta,
Yasmine Karume,
Rabia Shein,
Joshua Nchimbi,
Gracia Mkapa,
Jane Diallo,
Likel Ngasongwa,
Andy Magufuli,
Thomas Mongela,
Jubilee Kigoda,
Raymond Zanga,
Ismail Meghji,
Morris Mramba
Hatuitaji reference za miaka miwili nyuma wakati hazina mashiko....kuna changes nyingi zimefanywa na BOT pale shule tu ndo inakufanya upate kazi....Mtakaoajirirwa BOT mtawakuta hawa mabwana huko. Kila la heri
Gazeti la Jamuhuri la October 23, 2012 Limewataja vijana wafuatao kuwa ni watoto wa vigogo waliojazana BOT: Kweli Tanzania ina wenyewe
Salama Ali Hassan Mwinyi
Filbert Tluway Sumaye
Zaria Rashid Kawawa
Blasia William Mkapa
Herriet Marten Lumbanga
Pamela Edward Lowassa
Rachel Muganda
Salma Omary Mahita
Justine Mungai
Kenneth Nchimbi
Violet Philemon Luhanjo
Liku Kate Kamba
Thomas Mongela
Jabir Abdallah Kigoda
jamani nyie mnaofanya hapo BOT tujuzeni progress imefikia wapi kwa zile nafasi zilizotangazwa? Hivi hata mishahara hapo imekuwa siri jamani? kuna mtu aliuliza mshahara hapo ni sh ngapi kwa fresh graduate hakuna aliyejibu isiwe siri jamani!
sio lazima ujue kila kitu kijana kwani wewe unajua siku yako ya kufa acha kuwa na wasiwasi kama unaoga nje.
Acheni kudanganyana BOT kuna wanaoingia kwa akili zao na kuna wanaoingia kwa god father hili lazma liwe wazi ,hao vigogo wa pale manaosemaia wako makini wanaangalia mshule yako tuu kumbuka wamewekwa na vigogo wa serikali na hivyo amri ikitoka kwa mkuu kumpush kijana wake lazima lifanyike although anayebebwa hujikaza ,naamini hao wanaosaidiwa nao wana shule japo shule zao zinaweza kuwa sio kali kuliko wale wanaokosa ambao sio watoto wa vigogo,acheni kutudanganya nyinyi mlokunywa maji ya bendera ya bot
Hatuitaji reference za miaka miwili nyuma wakati hazina mashiko....kuna changes nyingi zimefanywa na BOT pale shule tu ndo inakufanya upate kazi....
Ikifika tarehe 31 January hujaitwa kwenye short list ya zile kazi za hawa mabwana nadhani its safe to assume kuwa hukufanikiwa.
PDB walishaanza kuita watu na kuwa interview since December. Hawa Deloitte wameamua kuita kimya kimya na kumalizana nao kimya kimya.
BOT Mpaka kufikia ijumaa ya January 31st watakuwa wametoa short list. Hawa hawatafanya kimya kimya watatangaza very soon.
Kama hujaitwa mpaka January 31 basi utakuwa hujafanikiwa
PDB-Leo wametoa maelezo kwenye gazeti la The Guardian, kuna mtu amenipigia simu. Mwenye access wa gazeti hili wakubwa atupe walichoandika. me naweza kupata jioni nikitoka job. Ila inaonyesha, nafasi za Wakurugenzi na Meneja zimejazwa na sisi baado.