T Tanya JF-Expert Member Joined May 4, 2013 Posts 340 Reaction score 159 May 15, 2018 #1 Habari wanajamvi. Naomba mwenye uelewa wa chuo kinachotoa short kozi za marketing na taarifa zingine zinaxoambatana na kozi hiyo kama lini intake mpya inaanza madomo, ada, etc. ninahitaji kijinoa kidogo uelewa wangu. Asante ni kwa kunisaidia
Habari wanajamvi. Naomba mwenye uelewa wa chuo kinachotoa short kozi za marketing na taarifa zingine zinaxoambatana na kozi hiyo kama lini intake mpya inaanza madomo, ada, etc. ninahitaji kijinoa kidogo uelewa wangu. Asante ni kwa kunisaidia