muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,542
- 3,587
Bei gani mkuuu na moro sehemu ganikama upo Morogoro nitafute nikufundushe
Ardhi, Udsm na Udom nilishawasiliana nao lakini inaonyesha huwa wanafanya pindi wanapopata uhitaji mkubwa wa wateja, kwa sasa hawana hivyo hawajapanga na haijulikani watafanya lini japo wameahidi kunitaarifu pindi watakapokuwa tayari.Ardhi
Depends on how much you want to invest. Mconsult tutor mmojawapo mzuri individually mpange nae program. Nilifanya hivyo kitambo kidogoArdhi, Udsm na Udom nilishawasiliana nao lakini inaonyesha huwa wanafanya pindi wanapopata uhitaji mkubwa wa wateja, kwa sasa hawana hivyo hawajapanga na haijulikani watafanya lini japo wameahidi kunitaarifu pindi watakapokuwa tayari.
Asante sana kwa ushauri huo aisee. Ngoja nitacheki mtu anayeweza kuwa affordable.Depends on how much you want to invest. Mconsult tutor mmojawapo mzuri individually mpange nae program. Nilifanya hivyo kitambo kidogo
Tena hii itakuwa nzuri kwako kuliko kusubiri darasa liwe na wanafunzi 80. Concentration inakuwa ndogo kwa mwanafunzo mmojammoja
Kama unatafuta maarifa na sio cheti ingia hapa...Habari waungwana.
Katika harakati zangu za kuboresha utendaji kazi wangu, nahitaji kupata maarifa ya GIS & RS, je ni wapi kwa sasa ninaweza kupata mafunzo ya muda mfupi (2 to 3 weeks) kuhusu GIS?
Nahitaji kuitumia katika issue zinazohusiana na kilimo, mazingira, misitu (natural resources) etc.
Natanguliza shukrani zangu.
Nilishawahi kuisoma pale UDSM haikuwa nzuri sana jaribu Ardhi University wanajitahidi.Habari waungwana.
Katika harakati zangu za kuboresha utendaji kazi wangu, nahitaji kupata maarifa ya GIS & RS, je ni wapi kwa sasa ninaweza kupata mafunzo ya muda mfupi (2 to 3 weeks) kuhusu GIS?
Nahitaji kuitumia katika issue zinazohusiana na kilimo, mazingira, misitu (natural resources) etc.
Natanguliza shukrani zangu.
Asante sana kwa kunipatia alternative ambayo ina affordable cost. Kiufupi natafuta maarifa.Kama unatafuta maarifa na sio cheti ingia hapa...
1. Youtube (free kabisa just ingia youtube then search "gis" au "remote sensing")
2. Udemy (10 usd/course... then search kama nilivyookuelekeza hapo juu).
3. Coursera (nimekosea jina ila uki google utawapata).
Kazi kwako.
Bure kabisa, nipo maeneo ya Area 6 nowBei gani mkuuu na moro sehemu gani
Pia fuata ushauri wa huyu jamaa , in short YouTube imekuwa msaada mkubwa sana kwangu kwa softwares mbali mbali, mfano QGIS, R studio,SPSS AutoCAD, FLstudio na Cubase hakuna aliyewahi kunifundisha zaidi ya YoutubeKama unatafuta maarifa na sio cheti ingia hapa...
1. Youtube (free kabisa just ingia youtube then search "gis" au "remote sensing")
2. Udemy (10 usd/course... then search kama nilivyookuelekeza hapo juu).
3. Coursera (nimekosea jina ila uki google utawapata).
Kazi kwako.
Asante sana kiongozi.Pia fuata ushauri wa huyu jamaa , in short YouTube imekuwa msaada mkubwa sana kwangu kwa softwares mbali mbali, mfano QGIS, AutoCAD, FLstudio na Cubase hakuna aliyewahi kunifundisha zaidi ya Youtube
Kila kitu unacho taka kujifunza kipo youtube ni wewe na bandle lako pamoja na passion to learn!Pia fuata ushauri wa huyu jamaa , in short YouTube imekuwa msaada mkubwa sana kwangu kwa softwares mbali mbali, mfano QGIS, AutoCAD, FLstudio na Cubase hakuna aliyewahi kunifundisha zaidi ya Youtube
Asante sana, tafadhari unaweza kushare contacts zake dmNenda udsm, geog depat utamkuta dr william akupe nondo adhim
Kabisa mkuuKila kitu unacho taka kujifunza kipo youtube ni wewe na bandle lako pamoja na passion to learn!