Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
Mkuu asikukumize kichwa huyo ni wale mamluki wa Nape wako kazini, mbona tuliisha wajua, wanashika ndago lakini kuzama ni lazima!!!Acha mambo ya kishabiki katika kuchjangia hoja kuwa mchambuzi yakinifu kabla haujaongea jambo na ujue kutofautisha kati ya fact, opinion na emotion suala la mishahara hutolewa kulingana na majukumu ya mtu mbona hamhoji posho za wana ccm, na mishahara ya wakurugenzi mbalimbali mnag`ang`ania kwa dr. Slaa peke yake wengine wakila ni halali ila kwa Dr. Slaa ni dhambi!? hata wewe hapo unapofanya kazi kuna watu wa chini yako wanalipwa fedha kidogo na wanalalamika kuhusu wewe kwa hisia zao lakini ukweli na uhalisia uko wazi unapokea unachostahili HEBU TUACHE MAJUNGU NA UNAFIKI WA KISWAHILI.
Isaac ; Mwakata huyo Shonza ni vigumu kumlea haleleki kumbuka hadithi yakuwa alichanjwa chale ma..ta.ko.ni eti hata aacha kuwa msaliti nilisema juzi Mnyiha gani anayejidharaulisha hivyo watu wa Mbeya hawajawahi kuwa watumwa huyu watamshangaa
sasa wewe unasema wala hata si mwana chadema licha ya kwamba wewe si kiongozi wa wanachadema wa mbeya lakini unawasemea wana chadema wa mbeya.sasa wewe unawasemea kama mwananchi mwenye usongo au?
5. Dr.UlimbokaMi nafikiri huyu dada anashindwa kuelewa kuwa adui mkubwa wa wama Mbeya ni CCM. Tukumbuke matukio yafuatayo
1. Maradhi yanayomsibu Mwandosya
2. Mbinu mbalimbali zilizotumika kutaka kumuua Mwakyembe
3. Mauaji ya Mwangosi.
4. Wao kama vijana kutoka Mbeya pia wamekumbwa na janga kwani CCM imeharibu mustakabari wao wa kisiasa na hii ni kutokana na CCM kutokuwa na mapenzi na wana Mbeya.
Kijana kweli umenena ila hilo tusi undoa kwenye "heading". Watu wangejua wangekuangalia we kwanza kama umekamilika.
Me naamini siasa sio uadui wala jukwa la kudharau mtu.
Kwa adabu hiyo hiyo wanayojulikana wana Mbeya hebu tetea mikopo minono wanayolipana makao makuu ya CDM na mishahara minono ambayo naamini huko Mbeya haifiki.
Wana Mbeya hatujulikani kwa unafiki.
Mwampashi umedandia treni ya TAZARA kwa mbele.
Tatizo kubwa la wa-TZ ni kupenda kuongea kwa ushabiki na uthabiti kuhusu hoja ambazo hawana vidhibiti navyo.Kwa adabu hiyo hiyo wanayojulikana wana Mbeya hebu tetea mikopo minono wanayolipana makao makuu ya CDM na mishahara minono ambayo naamini huko Mbeya haifiki.
Wana Mbeya hatujulikani kwa unafiki.
Mwampashi umedandia treni ya TAZARA kwa mbele.
Tatizo kubwa la wa-TZ ni kupenda kuongea kwa ushabiki na uthabiti kuhusu hoja ambazo hawana vidhibiti navyo.
Hivi mkuu, unajua kuwa pesa zinazotumika katika vyama vya siasa ni pamoja na za kodi za wa-Tz ambazo mwisho wa siku lazima zitolewe maelezo kwa serikali na kukaguliwa na serikali yenyewe?
Ina maana serikali imekula njama na CDM, kiasi cha kukiachia kutumia vibaya kadiri watakavyo ruzuku wanayopewa? Leo hii ukiombwa uthibitishe kama kweli CDM makao makuu wanapeana mikopo na kulipana mishahara minono utajitokeza kuthibitisha, au utaishia kusema nami niliambiwa?
Alipata kusema mwandishi mmoja aliyetukuka wa England kwamba "he who knows not, and knows not that he knows not, is a big simpleton".
Usijihalalishie kauli hii ya huyo mwandishi.
Mbona ushahidi upo, huku Mikoani hakuna kitu kinafika na hata viongozi wa Mikoani tupo nao
Haya Dada Shonza anao mnataka upi sasa?
[/QUOTE]Mkuu hili tusi la
Musana wa vinyu! nalielewa sana,mimi kinyiha nakijua sanaaaa
Mimi siyo mwanachama wa CHADEMA lakini ndicho chama mbadala angalau chenye muelekeo na ninasikia hasira sana na watu ambao wanadhani kuwa wanataka kutenda mambo ya demokrasia kumbe ni wahuni na wametumwa na chama tawala kuharibu harakati za chadema na kurudisha nyuma maendeleo ya wapenda demokrasia.
Leo nimeamua kuja na ID yangu halisi ili kuweka mambo sawa kutokana na uhuni wa huyu anayejiita kuwa bado ni kiongozi wa CDM. smbaye amejitahidi kuandika upuuzi wake humu kwa kurasa za kutosha na kuunda hoja za kipuuzi kabisa kwa madai ya kuwa viongozi waliofukuuzwa uanachama ni wale wanaotoka MBEYA
NAOMBA KUWAJULISHA WANAOPENDA DEMOKRASIA KUWA MIMI NATOKA MBEYA WILAYA YA MBOZI VWAWA ENEO LA IPANZYA NINATHAMINI MABADILIKO YA KWELI PAMOJA NA WAPENDA MAENDELEO WOTE WENYE KUITAKIA HERI NCHI YETU KWAMBA HUYU BINTI HANA ADABU NA DESTURI HALISI ZA WATU WA MBEYA WALA HAJALELEWA NA KUPATA MAKUZI HALISI YA WATU WA MBEYA bali huyu ni mamluki kama wenzake ambao naweza kuwaita ni makahaba wa demokrasia ambao wanatumiwa na wachache wenye uchu wa madaraka kuleta mgawanyo wa kitaifa kwa kuleta mawazo ya udini, ukanda, na ukabila ndani ya chadema ili kupitisha ajenda zao chafu kwa masilahi yao binafsi.
Napenda kuwaomba wana Mbeya wote popote pale mlipo tusimsikilize mpotoshaji huyu anayetaka kutugawanya maana inajulikana dhahiri kuwa wana Mbeya wana msimamo dhihir na wenye kueleweka kwenye suala la Demokrasia mahali popote pale na zaidi sana WANA NIDHAMU YA KUTOSHA KWA WANAO WAZIDI KI UMRI NA HATA KIMADARAKA hivyo nakusahauri uache biaashara uliyotumwa na mamluki ya kuwavurugia chadema dira yao ya mabadiliko ya demokrasia nchini.