Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,972
- 30,152
Hiyo Bei kubwa sana mkuuMbona sijaandka popote bei Ya lak4, au mm ndo sijakuelewa mkuu?
Hiyo Bei kubwa sana mkuuMbona sijaandka popote bei Ya lak4, au mm ndo sijakuelewa mkuu?
Hapana mkuu hatushoni kwa bei hYo, Tunashona suti kuanzia Tsh. 85000... Ktambaa bora kabsa.... Na knakuwa juu ya fundi.... Wew ukiwa kama mteja unakuja kuchkua nguo tu... Baada ya makubaliano... Huchkua sku7 na haizidi juu ya hapo....Hiyo Bei kubwa sana mkuu
Umenasa kwenye mtego wa jamaa [emoji2][emoji2][emoji2]. Ulijifanya hutaji beiHapana mkuu hatushoni kwa bei hYo, Tunashona suti kuanzia Tsh. 85000... Ktambaa bora kabsa.... Na knakuwa juu ya fundi.... Wew ukiwa kama mteja unakuja kuchkua nguo tu... Baada ya makubaliano... Huchkua sku7 na haizidi juu ya hapo....
Karibu sana Mkuu[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]
Hapana bei zpo waz mkuu.... Mwanzo nliandka bei... Katka kuedt uzi kwaajir ya kuongeza baadhi ya vtu, nkajkuta nmeshndwa kusave previous details.... Nkaona shda kuandka Tena.... Ila kwa wataohtaj bei na maaluzo ya vtu vngne ndo maana nkaandka no. za smu mkuu....Umenasa kwenye mtego wa jamaa [emoji2][emoji2][emoji2]. Ulijifanya hutaji bei
Anhaa,Hapana mkuu hatushoni kwa bei hYo, Tunashona suti kuanzia Tsh. 85000... Ktambaa bora kabsa.... Na knakuwa juu ya fundi.... Wew ukiwa kama mteja unakuja kuchkua nguo tu... Baada ya makubaliano... Huchkua sku7 na haizidi juu ya hapo....
Karibu sana Mkuu[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]
Ktambaa kwangu mkuu... Hapo unakja kuchkua nguo Tu.Anhaa,
Hapa sasa umeongea. So nikija na 85,000/- kitambaa kwangu au kwako?
Bei Ni reasonable. Inakua vipande viwili au vitatu?Ktambaa kwangu mkuu... Hapo unakja kuchkua nguo Tu.
Karbu sana[emoji3578][emoji3578]
Well...... Gud Question... Ila cjajua ulilenga nn unavyosema bei ni resonable na general meaning Ya vpande vtatu.... Il nkupe jbu sahh... Si unajua maana ya maana ni maana terezi mkuu?Bei Ni reasonable. Inakua vipande viwili au vitatu?
Well...... Gud Question... Ila cjajua ulilenga nn unavyosema bei ni resonable na general meaning Ya vpande vtatu.... Il nkupe jbu sahh... Si unajua maana ya maana ni maana terezi mkuu?Bei Ni reasonable. Inakua vipande viwili au vitatu?
Namba tatu achana nayo mzee#1. Je inachukua muda wa siku ngapi kwa mteja kukabidhiwa suti kama hii toka siku aliyolipia?
#2. Najua bei hutegemea aina ya kitambaa, Je unaweza kutuweka japo range ya bei minimum kuanzia ngapi hadi TZS ngapi? , Ili mteja anapokuja awe na idea ya bei tarajali.
#3. Iwapo nitakuletea kitenge ili nishonewe shati la mikono mirefu, mtu mkubwa, bei ya mashono pekee ni kiasi gani? na inachukua siku ngapi?
Ahsante.
Bei reasonable maana yake sio kubwa Sana, yaan ni bei ya kawaida na wengi wataimudu.Well...... Gud Question... Ila cjajua ulilenga nn unavyosema bei ni resonable na general meaning Ya vpande vtatu.... Il nkupe jbu sahh... Si unajua maana ya maana ni maana terezi mkuu?
Karbu tafadhari[emoji3578][emoji3578]
Je kwanini niachane na hii option? Je nini pendekezo lako.Namba tatu achana nayo mzee
Hapana mkuu hatushoni kwa bei hYo, Tunashona suti kuanzia Tsh. 85000... Ktambaa bora kabsa.... Na knakuwa juu ya fundi.... Wew ukiwa kama mteja unakuja kuchkua nguo tu... Baada ya makubaliano... Huchkua sku7 na haizidi juu ya hapo....
Karibu sana Mkuu[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]
Karibu mkuu[emoji3578][emoji3578][emoji3578]Namba tatu achana nayo mzee
Well... i catch You mkuu....Bei reasonable maana yake sio kubwa Sana, yaan ni bei ya kawaida na wengi wataimudu.
Suti vipande vitatu ni ile ambayo juu ukitoa lile koti kunakua na Kama kizibao au kikoti kidogo kisicho na mikono.
Yaani kuna koti la nje, kikoti cha ndani na suruali.View attachment 1568196
Hapa sasa nimeanza kukuelewa, na kwa watoto bei zinaanzia kwenye ngapi?Hapana mkuu hatushoni kwa bei hYo, Tunashona suti kuanzia Tsh. 85000... Ktambaa bora kabsa.... Na knakuwa juu ya fundi.... Wew ukiwa kama mteja unakuja kuchkua nguo tu... Baada ya makubaliano... Huchkua sku7 na haizidi juu ya hapo....
Karibu sana Mkuu[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]
Tunatmia Digital belts.... Znazoendana na rangi ya suruali......na kuhusu Bell bottom trousers(Vijana huita suruali za Jeje) pia Tunashona mkuu....Je ni material gani mnatumia kama sticker ya sehemu ya ndani ya kiuno cha suruali?
Mnashona bell bottom trousers pia?
Tunatmia Digital belts.... Znazoendana na rangi ya suruali......na kuhusu Bell bottom trousers(Vijana huita suruali za Jeje) pia Tunashona mkuu....Je ni material gani mnatumia kama sticker ya sehemu ya ndani ya kiuno cha suruali?
Mnashona bell bottom trousers pia?
Kwa upande wa suti za watoto... Ktambaa Kikiwa cha Fundi ghalama Yake n Tsh.60000 tu..... Kama kitambaa kikiwa chako n Tsh.30000 Tu.... Karbu sana mkuu[emoji1545][emoji1545]Hapa sasa nimeanza kukuelewa, na kwa watoto bei zinaanzia kwenye ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app