True Believer
JF-Expert Member
- Mar 6, 2019
- 588
- 900
- Thread starter
- #41
Kwa upande wa suti za watoto... Ktambaa Kikiwa cha Fundi ghalama Yake n Tsh.60000 tu..... Kama kitambaa kikiwa chako n Tsh.30000 Tu.... Karbu sana mkuu[emoji1545][emoji1545]Hapa sasa nimeanza kukuelewa, na kwa watoto bei zinaanzia kwenye ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1568362