Shoga yangu kachemka

Shoga yangu kachemka

Hakunaga marafiki huwa ni wivu tu hapo umefurahii
Wanawake kama gari haijaandikwa jina lako ni bora Usilitumie tu
 
SHOGA ANGU KACHEMSHA

Nazungumza na wewe mwanamke. Baraka yako ipo kwa mumeo, ukipata bahati ya kuolewa na mume ambaye anatimiza majukumu yake kama mume kaa kwa kutulia, muheshimu mumeo shoga, Muheshimu sana maana huyo baba ndiye Mungu wako wa hapa duniani. Shogaaa huwezi pambana na mwanaume NEVER, yqani ukiona unakubalika katika jamii jua jina la huyo mumeo ndio limekubeba achaaa maneno mengi nyenyekeaaa. Huku nje ni kugumu kugumu kugumuuu. Sisi tunamtamani huyo mumeo ila ndio hivyo yupo na wewe. Aisee jua ni kaliiii twena jua la dar usiongeee. Nina shoga angu huyo aliolewa na Tajiri mkubwa hapa Bongo mpaka nikawa namuonea wivu. Baba wa watu anamjali, kamfungulia mabiashara ya ma supermarket hamuulizi hata Mia anayopata. Bado anamtunza yeye na watoto. Yaani kwakifupi huyu baba ni MUME kweli.

Shogaa anapush Range tena si Range uchwara ni Range Rover Lumma clrr ya maaana, mimi nilikua naiita Farasi mweupe. Halafu achana na hizo nyingine nyingine hana gari ya chini ya milioni 100. Huyu dada akaona kila mtu anampenda hakujua hiyo Love yote ni sababu yeye ni mke wa Tajiri. Si akaanza kugawa Papuchi kwa machalii, Akatafuta kalumanzila wake anaitwa Mitimingi aka m sponsor ili wammalize Tajiri. (Tamaa ya fisi) kisa tu yule mbaba kazaa katoto kamoja nje. Yaani sisi huku tunapambana na wanaume zetu hawa wa misheni town na bado wana watoto rundo huko nje lakini tunang'ang'ania ili tu kodi ya meza tusiikose shogaa anaona yeye ni kashafika anapambana na Tajiri.

Game iliposhtukiwa si kakimbia, kapanga apatment mjini. Mbaba kamnyang'anya Gari halafu Mbaba katulia zake hana hata haraka. Shoga ngachooka yaani now ananisalimia kila saa wakati mimi ndo nilikua namnyenyekea. Kweli Dunia duara wacha nikachekee chumbani kwanza.

Now Shoga karudi kwao kibaha mji umemshinda. Kazoea A/C eti kanunua A/C yake kafunga kwenye ka room chake. Sasa ndugu zake wanavyomchambaaaaa. Na cha kuchekesha hela zake walikula wanaume kwao hakuwasaidia chochote.

Jamani tumuombee Shoga angu kwa Mungu maana anapitia wakati mgumu sana ila tujifunze. Yaani hapa nilipo natamani huyu mbaba aniambie ananipenda tu nikamdekeze mpaka dunia ijue. Chaaaa nani hataki kwenda kukaa kwenye nyumba ya Gorofa ina lift ukichungulia Dirishani kuna Parking ya Magari ya Mabilioni.

Niombeeni nika m replace Shoga angu maana yeye kachagua Mganga.View attachment 2490360
Dah aseeeh there is a lot about women , ngoja tuelekeze akili kwenye kutafuta Hela nyingiiii zaidi.
 
Shoga yako alipata kila kitu kwa huyo mdosi isipokuwa alikuwa hapigwi miti ya haha ndio maana akawa anagawa kama pipi uroda.

Hawa mapedeshee God kawajalia mkwanja tu lkn kitandani 0.

So utachaguwa ww upigwe miti na muhuni aliyefulia, au uendeshe vangard na migenye yako.

Wangu mtazamo

Sent from my itel W4001P using JamiiForums mobile app
 
Binadamu ni kiumbe mbishi sana na bahati mbaya tukipata kimvuli tunasahau kuwa Kuna jua.
Siyo lazima after separation basi mwanamke atateseka sometimes ni kinyume vile vile maana maisha siyo straight forward.

Ila by cheating hlf ukakamatwa life won't be the same anymore.

Lakini cheating or separation zingine hata hazina umuhimu- it is just mwanakulitafuta ,mwanakulipata.

Yaani Mwanamke unapata Mwanaume anakutunza ,anakulisha ,anakupenda ,anakupa gari ,anakumbato vizuri (show show) nk hlf emotions zako zinakupelekea unageuka kuwa jamvi la Jiji aka danguro linalojitegemea....... Sometimes kama mwanadamu unapaswa kujifunza na ni Bora ujifunze the simple way than the hard way maana inaumiza.

Aliye na masikio na asikie .

reymage hebu sema neno kidogo na wewe
 
Akili ya mwanamke anaijua mwenyewe. Ni kama yupoyupo tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom