Shoga yangu kachemka

Shoga yangu kachemka

mastori

Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
14
Reaction score
49
Nazungumza na wewe mwanamke. Baraka yako ipo kwa mumeo, ukipata bahati ya kuolewa na mume ambaye anatimiza majukumu yake kama mume kaa kwa kutulia, muheshimu mumeo shoga, Muheshimu sana maana huyo baba ndiye Mungu wako wa hapa duniani.

Shogaaa huwezi pambana na mwanaume NEVER, yqani ukiona unakubalika katika jamii jua jina la huyo mumeo ndio limekubeba achaaa maneno mengi nyenyekeaaa. Huku nje ni kugumu kugumu kugumuuu. Sisi tunamtamani huyo mumeo ila ndio hivyo yupo na wewe.

Aisee jua ni kaliiii twena jua la dar usiongeee. Nina shoga angu huyo aliolewa na Tajiri mkubwa hapa Bongo mpaka nikawa namuonea wivu. Baba wa watu anamjali, kamfungulia mabiashara ya ma supermarket hamuulizi hata Mia anayopata. Bado anamtunza yeye na watoto. Yaani kwakifupi huyu baba ni MUME kweli.

Shogaa anapush Range tena si Range uchwara ni Range Rover Lumma clrr ya maaana, mimi nilikua naiita Farasi mweupe. Halafu achana na hizo nyingine nyingine hana gari ya chini ya milioni 100. Huyu dada akaona kila mtu anampenda hakujua hiyo Love yote ni sababu yeye ni mke wa Tajiri.

Si akaanza kugawa Papuchi kwa machalii, Akatafuta kalumanzila wake anaitwa Mitimingi aka m sponsor ili wammalize Tajiri. (Tamaa ya fisi) kisa tu yule mbaba kazaa katoto kamoja nje. Yaani sisi huku tunapambana na wanaume zetu hawa wa misheni town na bado wana watoto rundo huko nje lakini tunang'ang'ania ili tu kodi ya meza tusiikose shogaa anaona yeye ni kashafika anapambana na Tajiri.

Game iliposhtukiwa si kakimbia, kapanga apatment mjini. Mbaba kamnyang'anya Gari halafu Mbaba katulia zake hana hata haraka. Shoga ngachooka yaani now ananisalimia kila saa wakati mimi ndo nilikua namnyenyekea. Kweli Dunia duara wacha nikachekee chumbani kwanza.

Now Shoga karudi kwao kibaha mji umemshinda. Kazoea A/C eti kanunua A/C yake kafunga kwenye ka room chake. Sasa ndugu zake wanavyomchambaaaaa. Na cha kuchekesha hela zake walikula wanaume kwao hakuwasaidia chochote.

Jamani tumuombee Shoga angu kwa Mungu maana anapitia wakati mgumu sana ila tujifunze. Yaani hapa nilipo natamani huyu mbaba aniambie ananipenda tu nikamdekeze mpaka dunia ijue. Chaaaa nani hataki kwenda kukaa kwenye nyumba ya Gorofa ina lift ukichungulia Dirishani kuna Parking ya Magari ya Mabilioni.

Niombeeni nika m replace Shoga angu maana yeye kachagua Mganga.
images%20-%202023-01-21T183257.248.jpg
 
SHOGA ANGU KACHEMSHA

.....ukipata bahati ya kuolewa na mume ambaye anatimiza majukumu yake kama mume kaa kwa kutulia, muheshimu mumeo shoga.....


Asomae na aelewe
 
SHOGA ANGU KACHEMSHA

Nazungumza na wewe mwanamke. Baraka yako ipo kwa mumeo, ukipata bahati ya kuolewa na mume ambaye anatimiza majukumu yake kama mume kaa kwa kutulia, muheshimu mumeo shoga, Muheshimu sana maana huyo baba ndiye Mungu wako wa hapa duniani. Shogaaa huwezi pambana na mwanaume NEVER, yqani ukiona unakubalika katika jamii jua jina la huyo mumeo ndio limekubeba achaaa maneno mengi nyenyekeaaa. Huku nje ni kugumu kugumu kugumuuu. Sisi tunamtamani huyo mumeo ila ndio hivyo yupo na wewe. Aisee jua ni kaliiii twena jua la dar usiongeee. Nina shoga angu huyo aliolewa na Tajiri mkubwa hapa Bongo mpaka nikawa namuonea wivu. Baba wa watu anamjali, kamfungulia mabiashara ya ma supermarket hamuulizi hata Mia anayopata. Bado anamtunza yeye na watoto. Yaani kwakifupi huyu baba ni MUME kweli.

Shogaa anapush Range tena si Range uchwara ni Range Rover Lumma clrr ya maaana, mimi nilikua naiita Farasi mweupe. Halafu achana na hizo nyingine nyingine hana gari ya chini ya milioni 100. Huyu dada akaona kila mtu anampenda hakujua hiyo Love yote ni sababu yeye ni mke wa Tajiri. Si akaanza kugawa Papuchi kwa machalii, Akatafuta kalumanzila wake anaitwa Mitimingi aka m sponsor ili wammalize Tajiri. (Tamaa ya fisi) kisa tu yule mbaba kazaa katoto kamoja nje. Yaani sisi huku tunapambana na wanaume zetu hawa wa misheni town na bado wana watoto rundo huko nje lakini tunang'ang'ania ili tu kodi ya meza tusiikose shogaa anaona yeye ni kashafika anapambana na Tajiri.

Game iliposhtukiwa si kakimbia, kapanga apatment mjini. Mbaba kamnyang'anya Gari halafu Mbaba katulia zake hana hata haraka. Shoga ngachooka yaani now ananisalimia kila saa wakati mimi ndo nilikua namnyenyekea. Kweli Dunia duara wacha nikachekee chumbani kwanza.

Now Shoga karudi kwao kibaha mji umemshinda. Kazoea A/C eti kanunua A/C yake kafunga kwenye ka room chake. Sasa ndugu zake wanavyomchambaaaaa. Na cha kuchekesha hela zake walikula wanaume kwao hakuwasaidia chochote.

Jamani tumuombee Shoga angu kwa Mungu maana anapitia wakati mgumu sana ila tujifunze. Yaani hapa nilipo natamani huyu mbaba aniambie ananipenda tu nikamdekeze mpaka dunia ijue. Chaaaa nani hataki kwenda kukaa kwenye nyumba ya Gorofa ina lift ukichungulia Dirishani kuna Parking ya Magari ya Mabilioni.

Niombeeni nika m replace Shoga angu maana yeye kachagua Mganga.View attachment 2490360
Waambie wasikie maana hamnaga ubongo nyie
 
G wangu kaniheshimisha, kanipa jina mjini.
Mashaallah.
Sasa wanaume ndo wananiona wananisumbua.
Nimefunga vioo...
Mimi na G, G namimi...
Kama sanda na ubao.
Halafu eti niondoe furaha yangu kisa mambo yake aliyokuwa anafanya kwa siri?
Nitapambana hadi mwisho.
Jua linavyowaka huko nje.
Mwanaume gani sasa hivi anahudumia familia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom