Inauma sana. Nchi iliyojaa amani kugeuka na kuwa hivi? Halafu bado NATO wanajidai wanalinda amani? Ningekuwa Ghadafi for sure ningeshatuma makombora ulaya kujibu mapigo. Na kama kufanya hivyo siwezi basi ningejiuzulu ili kulinda uhai wa hawa wanaopoteza maisha bila sababu. Sorry to them kwakweli.