shocking video: Warcrimes and Lies

shocking video: Warcrimes and Lies

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
11,604
Reaction score
1,858
Libya under NATO Warcrimes and Lies in Zlitan

[video=youtube_share;6C_dRBrm2Pg]http://youtu.be/6C_dRBrm2Pg[/video]​
 
Inauma sana. Nchi iliyojaa amani kugeuka na kuwa hivi? Halafu bado NATO wanajidai wanalinda amani? Ningekuwa Ghadafi for sure ningeshatuma makombora ulaya kujibu mapigo. Na kama kufanya hivyo siwezi basi ningejiuzulu ili kulinda uhai wa hawa wanaopoteza maisha bila sababu. Sorry to them kwakweli.
 
wana jf tushukuru maisha yetu hapa tz,sawa hatuna umee lkn tuna cheka na kulia kuliko kufa kwasababu sizo za kimsingi
 
Back
Top Bottom