At least Mungu amekupanua kufikiri zaidi kuliko ushabiki wa kishirikina katika jina la Kanisa la..?Mwanzoni ilianza kwa mbwembwe nyingi kwamba "yeyote atakaye fika kwa babu hatakufa." Remember?
Then ikaja "Wagonjwa mahututi wapewe priority." Picha nyingi tu zikaonyesha watu kwenye machela wakivushwa kwenye foleni
Kisha "Waliozidiwa wasiletwe Samunge." Baada ya vifo kuripotiwa
Mwishowe "Wagonjwa waje na dozi zao na wasiache kutumia hata baada ya kunywa kkombe." Why? Uhakika wa kutibu mashakani hapa. Taarifa wa watu kufariki hata baada ya kunywa kikombe.
Shuhuda za immediate healing ambazo zilichangia kwa kiasi kikubwa debe la babu zikafifia ghafla. Nguvu ya dawa ikapungua. Sasa watu wanatakiwa waendelee na dozi za hospitali walizozipuuza. Wale waliojigamba kuanza kula nyama hapohapo samunge baada ya kupona allergy, wale walio anza kushindilia dozi za soda na bia baada ya kuponywa kisukari , hawa wote hatuwasikii tena. Do you learn something here. Think critically, ushabiki kando.
Fool me once, shame on you. Fool me twice, shame on me ! Wise Quotes
Jesus is Lord
NYENYERE usiropoke tu kama vile unavyoenda chooni na kuachia makalio yako yatoe uchafu free.
Hayo unayoyasema khs Babu una uhakika ameongea yeye au unaskia habari kutoka kwa watu tu.
Hapa JF ni kwa great thinkers b4 u write u must do a research.
babu wa loliondo anatibu kwa imani,full stop,
tiba yake ipo kiroho zaidi,siyo sayantifik hivyo tarajia majibu yasiyo fanana kwa kila aliyekunywa kikombe.
nawajua wanaosema kuwa wamepona baada ya kunywa kikombe,e.g kuna mmtu amerudisha heshima kubwa ktk ndoa yake baada ya kupata kikombe
Nani aliwaambia waache kutumia dawa?
Mbona Babu anasisitiza watu waendelee kufanya matibabu ya kawaida hadi WAKAPIME afya zao Hospital?
Hao basi WALIDHANI vibaya na imewa-cost. RIP wao na hiyo Radio WAPO.

Mwanzoni ilianza kwa mbwembwe nyingi kwamba "yeyote atakaye fika kwa babu hatakufa." Remember?
Then ikaja "Wagonjwa mahututi wapewe priority." Picha nyingi tu zikaonyesha watu kwenye machela wakivushwa kwenye foleni
Kisha "Waliozidiwa wasiletwe Samunge." Baada ya vifo kuripotiwa
Mwishowe "Wagonjwa waje na dozi zao na wasiache kutumia hata baada ya kunywa kkombe." Why? Uhakika wa kutibu mashakani hapa. Taarifa wa watu kufariki hata baada ya kunywa kikombe.
Shuhuda za immediate healing ambazo zilichangia kwa kiasi kikubwa debe la babu zikafifia ghafla. Nguvu ya dawa ikapungua. Sasa watu wanatakiwa waendelee na dozi za hospitali walizozipuuza. Wale waliojigamba kuanza kula nyama hapohapo samunge baada ya kupona allergy, wale walio anza kushindilia dozi za soda na bia baada ya kuponywa kisukari , hawa wote hatuwasikii tena. Do you learn something here. Think critically, ushabiki kando.
Fool me once, shame on you. Fool me twice, shame on me ! Wise Quotes
Jesus is Lord
Leo redio WAPO imeripoti kuwa idadi kubwa ya watu wamepoteza maisha siku chache baada ya kunywa kikombe cha babu. Hii ni kwa mujibu wa riporter kutoka Arusha. Wanaoongoza kwa kukumbwa na madhila hayo ni wagonjwa wa kisukari ambao walidhani wamepona na hivyo kuacha kutumia dawa za hospitali. Nawasilisha.
Nina ushahidi wa mgonjwa mmoja wa kisukari. Alipotoka kwa babu alikuwa anatamba kuwa KAPIGA KIKOMBE cha babu na aligonga soda mbalimbali njiani. Baada ya siku saba kapima kakuta sugar as usual.
Sasa tuamini nini kwa shuhuda hizi?
Nani aliwaambia waache kutumia dawa?
Mbona Babu anasisitiza watu waendelee kufanya matibabu ya kawaida hadi WAKAPIME afya zao Hospital?
Hao basi WALIDHANI vibaya na imewa-cost. RIP wao na hiyo Radio WAPO.
Mkuu hapa sijakuelewa vizuri, unasema watu waende hospitali au kwa babu? Au unamaanisha babu hatibu na anataka watu wamtemblee au anafanya majaribio!
Sasa jamani, Mungu yupi anakuponya halafu anasema endelea kutumia dawa zako, ukiacha unakufa???????