Shock to Kenyans as East African Leaders run away from Uhuru’s ‘Mega’ Projects

SamTu160

JF-Expert Member
Feb 25, 2016
624
568
Even Burundi has now ditched Kenya for Magufuli’s Tanzania as trade partner for mega Infrastructural projects!!!

Uhuru has simply become LEPROUS and Kenya is the new LAZARUS of E.A. What is happening? Museveni ran away, Kagame ran away, Nkurunziza has now VAMOOSED, Ethiopia ran away, and south Sudan is now seeking new friends in the Ethiopia-Djibouti railway & port project, Somali is running away.

What has suddenly happened to Uhuru that everyone is running away?

It is said that a poll commissioned by Rwanda, Uganda and South Sudan governments indicated that the citizens of those countries were up in arms and were categorical their taxes CANNOT BE USED to finance CORRUPTION in Kenya forcing Presidents Museveni and Kagame to abandon the SGR and Pipeline deals that they had initially committed during Raila’s tenure as Prime Minister.

Source : Kenya Today
 
Ukweli upo,
Rwanda imeachana kwa Muda SGR ya northern corridor. Rwanda Minister of infrastructure na team ya wataalam wake walikuwa na discussion na upande wa Tanzania ni kwa njisi gani watatekeleza uunganishwaji wa SGR kupitia southern Route.
 
Hii haijakaa vizuri kwa jumuiya yetu, sio jambo la kufurahia, ni vizuri wanachama wa jumuiya yetu wakafanya kazi kwa kushirikiana na sio kila mtu kivyake
 
Hii haijakaa vizuri kwa jumuiya yetu, sio jambo la kufurahia, ni vizuri wanachama wa jumuiya yetu wakafanya kazi kwa kushirikiana na sio kila mtu kivyake
Acha unafiki , wao wangekupiku kwenye bomba la gesi ndio ungejua unyang'au wao.
 
Siasa hazina rafiki wa kudumu,bali maslahi ya kudumu.Kutokana na rasilimali zilizopo Tanzania,hakuna anayetaka kujitenga nayo.Kenya kwa akili zao fupi walitaka kuwahadaa majirani zetu,ili wawateke kiuchumi.Ilikuwa ni swala la muda tu.Hatimaye wameng'amua na kurejea nyumbani Tanza yenye nia
 
hahaaa we jamaa eti mungiki wanaisoma!!! umenikumbusha mungiki documentary ya jamaa mmoja wakuitwa Ross Kemp,jamaa hatari sana wale
 
Hii haijakaa vizuri kwa jumuiya yetu, sio jambo la kufurahia, ni vizuri wanachama wa jumuiya yetu wakafanya kazi kwa kushirikiana na sio kila mtu kivyake
Jumuiya au ushirikiano wa kinafiki na majungu majungu hauna maana. Ni vema ushirikiano ujengwe juu ya maslahi ya kiuchumi na sio kuoneana aibu.
 
Wakenya wanalijua hili na ndio maana wanajitahidi kuendeleza miundombinu yao ili kuendana na kasi ya maendeleo ya nchi nyinginezo za afrika mashariki yaani kwa kifupi ni mbadala wa uchumi wao....hili naliona kama ni la kutapatapa ama la kufanikiwa hivyo , muda utahukumu

Kenya was used to be a gate way to EA for so long in expense of other EA countries economical "sleepness " ..
Ujamaa killed the so called competitive mind among Tanzanians which in return favoured Kenya's economical supremacy in this region...

Hakuna wa kupinga kuwa Kenya ilifaidika sana kwa usingizi wa jirani yake hasa katika sekta za kilimo ,viwanda ,bandari na utalii ambavyo kwa ujumla huchangia pato la Kenya kwa kiasi kikubwa.... Hata waziri wao alikiri kwenye media zao kuwa bila ya usingizi huu bandari ya Mombasa ingekuwa ni historia...

Maendeleo ya TZ yanayoinyima usingizi ni pamoja na uimarishaji wa mazingira ya uwekezaji na biashara ,viwanda ,miundombinu na utalii...na ukitaka kulithibitisha hili , angalia vipaumbele vya majirani kwa sasa...

Kenya nayo ina hazina kubwa ambayo hata kama tz tutaendelea lakini bado itakuwa ngumu kuwafikia ni rasilimali watu iliyo imara na inaimarishwa kila kukicha ...

LICHA YA YOTE :USHIRIKIANO BADO UNAHITAJIKA NA SI VYEMA KUUFURAHIA UPEPO UMYUMBISHAYO JIRANI YAKO KWA KUWA WAWEZA KUKUFIKIA PIA
 
Naona Raila anatumia nafasi vzr! Full kumpiga madongo Uhuru, 2017 ataipata pata
 
Hakuna ukweli wowote hapo. Zilipigwa hesabu na hali ya usalama ndio vilikuwa vigezo.
The rest is jungle politics
Ziwe hesabu na usalama au jungle politics; the zerosum game is that The Nyang'aus thuggery and banditry has now caught up with them! Ujanja mwingi huondoa maarifa!!!
 
Wakenya wanalijua hili na ndio maana wanajitahidi kuendeleza miundombinu yao ili kuendana na kasi ya maendeleo ya nchi nyinginezo za afrika mashariki yaani kwa kifupi ni mbadala wa uchumi wao....hili naliona kama ni la kutapatapa ama la kufanikiwa hivyo , muda utahukumu

Kenya was used to be a gate way to EA for so long in expense of other EA countries economical "sleepness " ..
Ujamaa killed the so called competitive mind among Tanzanians which in return favoured Kenya's economical supremacy in this region...

Hakuna wa kupinga kuwa Kenya ilifaidika sana kwa usingizi wa jirani yake hasa katika sekta za kilimo ,viwanda ,bandari na utalii ambavyo kwa ujumla huchangia pato la Kenya kwa kiasi kikubwa.... Hata waziri wao alikiri kwenye media zao kuwa bila ya usingizi huu bandari ya Mombasa ingekuwa ni historia...

Maendeleo ya TZ yanayoinyima usingizi ni pamoja na uimarishaji wa mazingira ya uwekezaji na biashara ,viwanda ,miundombinu na utalii...na ukitaka kulithibitisha hili , angalia vipaumbele vya majirani kwa sasa...

Kenya nayo ina hazina kubwa ambayo hata kama tz tutaendelea lakini bado itakuwa ngumu kuwafikia ni rasilimali watu iliyo imara na inaimarishwa kila kukicha ...

LICHA YA YOTE :USHIRIKIANO BADO UNAHITAJIKA NA SI VYEMA KUUFURAHIA UPEPO UMYUMBISHAYO JIRANI YAKO KWA KUWA WAWEZA KUKUFIKIA PIA
Adui yako muombee njaa.
 
Hakuna ukweli wowote hapo. Zilipigwa hesabu na hali ya usalama ndio vilikuwa vigezo.
The rest is jungle politics

Problem ya KENYANS ni historical...KENYANS wanajisikia sana, ingawa wao wenyewe hawajui kuwa wako hivyo. Kujisikia maana yake ni 'arrogance'...Wakenya, sio wote lakini, hujiona kuwa wao ndio bora katika ukanda huu wote...Watanzania walichukizwa sana na kitendo cha Wakenya kuhusika kwa asilimia kubwa kuivunja Jumuiya yazamani ya Afrika Mashariki mwaka ule wa 1977...Wakenya wakachukua karibu Ndege zote za East African Airways shirika ambalo makao yake yalikuwa Nairobi...wakaunda Kenya Airways kwa mbwembwe...wakachukua Meli kwenye ziwa Victoria na wakaifanya Hotel...Njonjo (yule mwanasheria wao) akasherehekea kuvunjika kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki mwaka ule wa 1977. Kenya ndiyo inayofanya biashara kubwa hapa Tanzania kuliko nchi nyingine yoyote ile...sasa basi baadala ya kuwa karibu na Tanzania wao Wakenya ndio wanaoendelea kuipiga vita na kuihujumu Tanzania...Siku Tanzania ikiamua kuacha kutumia bidhaa za Kenya uchumi wa Kenya utayumba...Wakenya wanatakiwa kuibembeleza Tanzania na siyo vinginevyo.
 
Problem ya KENYANS ni historical...KENYANS wanajisikia sana, ingawa wao wenyewe hawajui kuwa wako hivyo. Kujisikia maana yake ni 'arrogance'...Wakenya, sio wote lakini, hujiona kuwa wao ndio bora katika ukanda huu wote...Watanzania walichukizwa sana na kitendo cha Wakenya kuhusika kwa asilimia kubwa kuivunja Jumuiya yazamani ya Afrika Mashariki mwaka ule wa 1977...Wakenya wakachukua karibu Ndege zote za East African Airways shirika ambalo makao yake yalikuwa Nairobi...wakaunda Kenya Airways kwa mbwembwe...wakachukua Meli kwenye ziwa Victoria na wakaifanya Hotel...Njonjo (yule mwanasheria wao) akasherehekea kuvunjika kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki mwaka ule wa 1977. Kenya ndiyo inayofanya biashara kubwa hapa Tanzania kuliko nchi nyingine yoyote ile...sasa basi baadala ya kuwa karibu na Tanzania wao Wakenya nido wanaoendelea kuipiga vita na kuihujumu Tanzania...Siku Tanzania ikiamua kuacha kutumia bidhaa za Kenya uchumi wa Kenya utayumba...Wakenya wanatakiwa kuibembeleza Tanzania na siyo vinginevyo.

The chickens have come home to roost! The poor Gikuyu's are begining to suffer the unpleasant consequences of their past immoral actions, man eat man; dog eat dog, bandit economy & proffesional thieves; if the statements of their own president Kenyatta and chief justice Willy Mutunga is anything to go by!
 
Back
Top Bottom