Ralphryder JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 5,599 Reaction score 1,801 Jan 19, 2012 #1 Duh! Jamani hii hali ngumu hata pesa mfukoni haikai ada za shule! Nauli za wanaowahi mashuleni, wakunikopesha hakuna! Natamani hata kujinyonga! Aaaagh!
Duh! Jamani hii hali ngumu hata pesa mfukoni haikai ada za shule! Nauli za wanaowahi mashuleni, wakunikopesha hakuna! Natamani hata kujinyonga! Aaaagh!
Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,276 Jan 19, 2012 #2 Hicho kichwa cha habari kimenichekesha mpaka mkoloni kaniangalia. Ni PM nikukopeshe
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,731 Jan 19, 2012 #3 naungana na wewe.
Vinci JF-Expert Member Joined Jul 6, 2009 Posts 2,637 Reaction score 675 Jan 19, 2012 #4 mkuu usijali mwaka unaenda kwa spidi ya mwanga....tayari tumeshauchakaza..bado siku chache tuingie february...mambo inawezekana yakaanza kulainika
mkuu usijali mwaka unaenda kwa spidi ya mwanga....tayari tumeshauchakaza..bado siku chache tuingie february...mambo inawezekana yakaanza kulainika
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Jan 19, 2012 #5 Mamndenyi said: naungana na wewe. Click to expand... toka lini mchaga akakuambia anahela..
chapaa JF-Expert Member Joined Feb 19, 2008 Posts 2,349 Reaction score 206 Jan 19, 2012 #6 mkuu chonga kibubu jan-dec kidogo itakupunguzia machungu