Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,758
Mkuu mbona siku hizi unacomment kwa machale,mara chache sana na kwa uangalifu mkubwa sana hapa JF??[emoji30] .......kuna siri gani nyuma ya pazia??[emoji24] .....unataka kuniambia ya kwamba mtu kuwa na mahusiano hapa JF ni utumwa wa kimyakimya? 🙂Ninachoweza kusema hapa ni kuwa WITH/WITHOUT MAKE UP huyo binti ni mzuri, sitajutia mahari yangu akiondoa make up!
Mkuu jadili mada iliopo.Mkuu mbona siku hizi unacomment kwa machale,mara chache sana na kwa uangalifu mkubwa sana hapa JF??[emoji30] .......kuna siri gani nyuma ya pazia??[emoji24] .....unataka kuniambia ya kwamba kuwa na mahusiano hapa JF ni utumwa wa kimyakimya? 🙂
mh!..Ndio maana sipendi make-up.
Napenda kuwa kama nilivyo,labda ktk special events tu tena usiku na ni mara chache.
Make-up ni utumwa,ukijizoesha unakosa kujiamini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wewe umenizidi kwa umbea,Wallah!Mkuu mbona siku hizi unacomment kwa machale,mara chache sana na kwa uangalifu mkubwa sana hapa JF??[emoji30] .......kuna siri gani nyuma ya pazia??[emoji24] .....unataka kuniambia ya kwamba kuwa na mahusiano hapa JF ni utumwa wa kimyakimya? 🙂
Ndio hivyo tena ningelipa ng'ombe 50 kumbe ilipaswa bata watatu tu!!!same person with/without make up.
Ndio maana nakukubali binamu yanguNdio maana sipendi make-up.
Napenda kuwa kama nilivyo,labda ktk special events tu tena usiku na ni mara chache.
Make-up ni utumwa,ukijizoesha unakosa kujiamini.
Kama zina madhara si bora msitumie kabisaMadhara yapo tena mengi tu.
Du una macho make up za ajabu zinabadili hata baadhi ya viungo.Hao ni watu wawili tofauti ushahidi ni pua kama mdau ulivyong'amua.Kama photoshop haijahusika basi hao ni kulwa na doto,
Mmoja anakaa kijijini chato mwingine ni daisalam, angalia pua zao.
Dodge & Burn In PhotoshopKama photoshop haijahusika basi hao ni kulwa na doto,
Mmoja anakaa kijijini chato mwingine ni daisalam, angalia pua zao.
Kama photoshop haijahusika basi hao ni kulwa na doto,
Mmoja anakaa kijijini chato mwingine ni daisalam, angalia pua zao.
Ok.Inaitwa contour unachonga pua Na cheek bones kwa kutumia foundation au concealer 1 or 2 shades darker than your skin tone