Mkuu ni kwa kuwa una uzuri wa asili. Kama una mabaka ya chunusi, pengine na mba au mbalanga na ukasubiri mpaka yapone yenyewe si utapitwa na mengi.
Jipodoe ufungue milango. Atakaekupenda, kabla hajalipa ng'ombe unamueleza ukweli - lakini wakati huo amekujua tabia na ukarimu wako tayari.