kacnia
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 4,026
- 15,812
Leo nimecheka sana baada ya kugundua kuwa huwa nalishwa matango poli huko instagram hasa pale ninapohitaji kupata tafsiri ya maneno ya lugha kama kiarabu,kifaransa na kileno kwenda kiingereza. Hili nimeligundua baada ya kujaribu kubadili maneno ya kiswahili kwenda kiingereza hiki ndio kilichotokea