Shirima atutoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shirima atutoka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tanganyika1, Aug 23, 2011.

 1. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Mbunge wa bunge la jamuhuri ya muungano ya Tanzania amefariki leo hii katika hospiatali ya taifa ya muhimbili ambako alilazwa kufuatia ajali alopata akiwa anarejea mjini Dodoma kutoka kwenye mazishi ya Kaka wa mkewake. Aidha katika ajali hiyo mke wa mheshimiwa Shirima alipoteza maisha. Mungu ailaze pema roho ya marehemu; Amin
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  tayari hii makitu ipo humu majukwaani!

  btw, jina sahihi ni Silima na si Shirima, all in all pole kwa familia!
   
 3. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2011
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Sahihisho la jina la marehemu: si Shirima ni Silima. Jina kamili ni Mh. Mussa Khamis Silima Mbunge kutoka Baraza la Wawakilishi (CCM).
   
 4. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Asante sana mkuu mana mie nlipopata habari tu nkakimbia kuwajuza kumbe wenzangu walisha wahi haina mbaya lakini.
   
 5. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  siku nyingine utulie kwanza upate usahihi
  kuna akina shirima pressure zimewapanda hivyo watake radhi!
   
 6. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Haswa Mkuu
  mm mwenyewe nimefungua haraka haraka.
  RIP Mbunge Silima na Mkewe
   
 7. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Dah! Jana niliona TBC yeye na dereve wake wakifikishwa MOI Muhimbili. Aisee that's too bad..RIP Mh. Silima na pole kwa wafiwa wote.
   
 8. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #8
  Aug 23, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu Shirima samahani alikuwa wa Chadema au wa Chama gani? na ni wajimbo gani?
   
 9. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Duh, Masawe, hii mtu inadai eti Shirima imeresti in peace? Thata rire deni rangu ataripaje? aah kumbe sie ni Silima, basi nawapa pole wote jamani
   
 10. c

  chapombe Member

  #10
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  RIP Shirima
   
 11. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,633
  Trophy Points: 280
  Duh hii kali nilidhani mkuu wa mkoa wa Arusha katutoka.Mkuu kunatofauti kubwa baina ya Shirima wanatoka Kilimanjaro Silima Zanzibar.
   
 12. s

  sawabho JF-Expert Member

  #12
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Wakati mwingine uwe makini na majina. Hilo jina limetushtua ukoo Shirima.
   
 13. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  RIP silima
   
 14. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #14
  Aug 23, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Hata mimi mkuu nilidhani mzee Isdore Shirima a.k.a Baba Nana moyo ulinilipuka maana hii familia naifahamu tangu mzee alipokuwa mkuu wa mkoa Dodoma.
   
 15. m

  maskin Member

  #15
  Aug 23, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 76
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  rip
  kuna wale ndugu zetu hawa tofautishi kati ya r na l tupo nao wengi mitaani huku kwahiyo wana utata sana kwenye matamshi yenye r na l so watch out
   
 16. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #16
  Aug 23, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hili tatizo la kuchanganya herufi ni hatari sana! Hapa ametuvuruga sana akili. Binafsi nilidhani ni Shirima wa Precisionair!
   
Loading...