Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya juu Vs Mkutano wa Lowassa

Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya juu Vs Mkutano wa Lowassa

Mapengo 17

R I P
Joined
Mar 28, 2014
Posts
1,228
Reaction score
618
Wakati Ndugu Edward Lowasa akitoa tamko kwamba atagombea nafasi ya Urais katika uchaguzi wa mwaka huu.

Viongozi mbalimbali wa CCM wapo katika mkutano wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya juu lenye jukumu la kuwa daraja na kiunganishi baina ya Chama na wanafunzi.

Miongoni mwa viongozi waliopo ni pamoja na Rais Jakaya Kikwete, ambaye ambaye amerudia kauli yake aliyoitoa hivi karibuni kwamba Kamati Kuu ichague viongozi waadilifu, waaminifu na wachapa kazi ili wawe na uongozi imara na shirikisho lenye matumaini.

"Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu liwe kimbilio la wanafunzi na tegemeo lao"-M/kiti wa CCM Taifa Ndg Jakaya Kikwete.

Je Lowasa yeye hakualikwa huko kwa hilo shirikisho?

 
hili shirikisho la wanafunzi wa vyuo ni vijana wa-ki-imbw-a kuliko hata UVCCM ama kweli Elimu siyo busara na uelewa wa siasa, hawana mchango wa ukombozi kisiasa, hawa ni vifata upepo na daraja la hawa mafisadi na tunakoelekea kuna walakini wa mgogoro baina yao na UVCCM. Njaa sanaaaa hawa.
 
Wakati Ndugu Edward Lowasa akitoa tamko kwamba atagombea nafasi ya Urais katika uchaguzi wa mwaka huu.................viongozi mbalimbali wa CCM wapo katika mkutano wa Shirikisho La Wanafunzi Wa Vyuo Vya Elimu Ya Juu lenye jukumu la kuwa daraja na kiunganishi baina ya Chama na wanafunzi.

Miongoni mwa viongozi waliopo ni pamoja na Rais Jakaya Kikwete, ambaye ambaye amerudia kauli yake aliyoitoa hivi karibuni kwamba Kamati Kuu ichague viongozi waadilifu, waaminifu na wachapa kazi ili wawe na uongozi imara na shirikisho lenye matumaini.

"Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu liwe kimbilio la wanafunzi na tegemeo lao"-M/kiti wa CCM Taifa Ndg Jakaya Kikwete.

Je Lowasa yeye hakualikwa huko kwa hilo shirikisho?


Fisadi EL anajua kuwa akishusha pesa yake hao vijana wa vyuo na njaa zao lazima watamuunga mkono tu!
 
Kipenga ndio kimeanza wacha nitazame movie..
 
Back
Top Bottom