Shirikisho la wanafunzi vyuo vya elimu ya juu Tanzania: Taarifa kwa vyombo vya habari

ALWATAN KIZIGO

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
539
642
SHIRIKISHO LA WANAFUNZI VYUO VYA ELIMU YA YA JUU TANZANIA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Ndugu waandishi wa habari,

Shirikisho la Wanafunzi Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania kupitia kwenu tunapenda kuwafikishia umma wa watanzania juu ya mambo mbalimbali yanayoendelea katika sakata la Mikopo ya Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania. Kwanza ifahamike kwamba tumekuwa tukilifatilia sakata hili kwa ukaribu mkubwa na tumechukua jitihada mbalimbali katika kuleta utatuzi ikiwa ni pamoja na kushauri njia za utatuzi wa tatizo hili, mpaka sasa tumeshazungumza na Waziri mwenye dhamana ya Elimu Nchini, Mkurugenzi wa Bodi ya Mikopo pamoja na wadau mbalimbali wa Elimu. Pamoja na juhudi zote hizo bado kuna changamoto kubwa kwenye suala la mikopo.

Awali ya yote tunaunga mkono juhudi na dhamira ya dhati ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt JOHN POMBE MAGUFULI katika kuhakikisha Nchi yetu inasonga mbele kimaendeleo na kuwainua masikini na wanyonge wa Taifa hili sisi kama wasomi wa Taifa hili bado tunaamini kuwa njia pekee ya kumkomboa masikini na mnyonge wa Taifa hili ni kumpatia elimu itakayomuwezesha kujikwamua yeye binafsi na jamii inayomzunguuka, lakini kwa namna ya kipekee tumeshtushwa sana , tunashangazwa na kustaajabishwa na kitu tunachokiona kuwa ni hujuma za wazi zinazofanywa na Bodi ya Mikopo Nchini dhidi ya Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Mhe. Rais JOHN POMBE MAGUFULI.
Yafuatayo yanathibisha uwepo wa hujuma za waziwazi dhidi ya Serikali ya Rais Magufuli.

Serikali imekuwa ikiongeza fedha kwa ajili ya wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu hadi kufikia kiasi cha TShs billion 487 ambayo kwa miaka iliyopita ilikuwa chini ya billion 350 lakini idadi ya wanafunzi imekuwa ikipungua huku kiwango cha fedha kikiongezeka. Mfano kwa mwaka uliopita wanufaika wa mkopo walikuwa elfu 53 lakini mwaka huu wanufaika ni 25,700 pamoja na ongezeko la zaidi ya Tsh billion 137 kwenye Bajeti ya Bodi ya Mikopo.

Pili kumekuwepo kwa kubadilishwa kwa vigezo vya utoaji wa Mikopo ya Elimu ya Juu bila kuwashirikisha wadau husika kama vile wanufaika wa Mikopo ya Elimu ya Juu hali inayopelekea kutokea kwa migogoro kati ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu na Serikali yao. Mfano mgogoro unaoendelea hivi sasa, ukiangalia mwongozo wa Bodi ya Mikopo uliotolewa tarehe 26 June 2016 unatofautiana kwa kiasi kikubwa na mwongozo wa Serikali uliotolewa tarehe 14 October 2016 na kusainiwa na Naibu Waziri Mhandisi STELLA MANYANYA hivyo inatupa taswira ya kuona kuwa kuna jitihadaza za kuhujumu Serikali yetu mfano Bodi ya Mikopo imetangaza kigezo kingine kipya ambacho kipo nje ya mwongozo wao (bodi) lakini pia kipo nje ya mwongozo wa Wizara ya Elimu ambacho ni kigezo cha umri kwamba watu wenye umri wa zaidi ya miaka thelasini hawatonufaika na mikopo (Je? Ikiwa mtu ni mlemavu miongoni mwa vigezo vya kupata mkopo na amevuka umri wa miaka 30 hatonufaika na mikopo?). Tafsiri ya hoja hii ni kuwa Bodi hawana sifa au vigezo vya kudumu vya namna ya kutoa mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu kila mwaka wanakuja na vigezo vipya.

Tatu kumekuwa na idadi kubwa ya watu wanaostahili kupata mikopo na wenye vigezo lakini cha kushangaza hawamo kwenye orodha ya kupata mikopo na idadi yao ni kubwa mfano mdogo tu ni kutoka Chuo Kikuu Cha Dar es salaam wapo yatima zaidi ya 64 ambao hawajapata mikopo na bado tunakusanya data zao Chuo Kikuu Cha Mwalimu Nyerere kati wanafunzi 720 wenye sifa pamoja na yatima 78, waliopata mkopo ni 151 tu.

Nne uhakiki wa vigezo vya utoaji wa mikopo kwa wanufaikaji wanaoendelea na masomo kupitia madodoso ya kujaza ni zoezi linalolenga kufifisha ndoto za vijana wengi masikini kumaliza Elimu ya Juu pamoja na kupunguza idadi ya wanufaikaji wa mkopo lakini vilevile wanafunzi hawa walishaingia mkataba na Bodi Mkopo kugharamiwa masomo yao mpaka watakapomaliza masomo, kusitisha kuwapa mikopo wakiwa vyuoni ni kukatisha mkataba kitu ambacho ni sawa na uchonganishi kati ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu na Serikali yao.

Ndugu waandishi wa habari.

Kutokana viashiria hivyo Shirikisho la Wanafunzi Vyuo vya Elimu ya Juu Nchini tunashauri yafuatayo;
Wizara na Bodi ya Mikopo kuja na vigezo vya pamoja ambavyo ni shindanishi vinavyopimika bila utata na ubaguzi. Mfano ufaulu, uyatima, ulemavu pamoja na mtu anaelelewa na mzazi mmoja au asiye na uwezo.

Pili uandaaji wa vigezo vya uombaji wa Mikopo ushirikishe wadau mbali mbali wa Elimu ya Juu wakiwemo wanufaika wa Mikopo hiyo kupitia Jumuiya zao.

Tatu kuandaliwe mifumo sahihi itakayosaidia kuharakisha upatikanaji wa fedha za ada, fedha za kujikimu na fedha za mafunzo kwa vitendo kuliko ambavyo ilivyo sasa wanafunzi wengi wamesharipoti vyuoni lakini kuna ucheleweshwaji wa fedha zao za mikopo hali inayopelekea wanafunzi kushindwa kumudu gharama za maisha wakati wengi wao wametoka katika familia masikini hii inapelekea kujengeka kwa chuki dhidi wa Serikali yao.

Mwisho
Tunapenda kutoa Rai kwa Vyuo vyote vya Elimu ya Juu Nchini kuwasilisha majina ya Wanafunzi waliodahiliwa na wenye sifa za kupata mkopo ili kufanikisha zoezi la utaoji wa Mikopo kwa wakati.

Tunaiomba Serikali kupitia Ofisi ya Mkaguzi na mdhitibiti wa Hesabu za Serikali kuhakiki Taklibani TShs. Billion 1 na Millioni 740 fedha zilizokusanywa kutokana na ada ya uombaji wa Mikopo kwa mwaka huu (Elfu 30 kwa mtu 1 kwa waombaji Elfu 58), Ili kujua matumizi ya fedha hizo kutokana na mapungufu makubwa yaliyojitokeza katika upitiaji wa sifa na vigezo vya Wanafunzi wanaostahili kupata Mikopo.

Tunaitaka Serikali iipitie upya Bodi ya Mikopo kwani kwa haya yote yanayoendelea inaonyesha wazi kuwa Bodi imeshindwa kutimiza wajibu wake wa msingi, hivyo Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo Vya Elimu ya Juu linatoa siku saba kwa Bodi ya Mikopo kumaliza tatizo la Mikopo kwa Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu.
Aidha tunatambua kero na usumbufu wanaoupata wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Nchini Shirikisho la wanafunzi Vyuo vya Elimu ya Juu tunawaomba kuwa wavumilivu na watulivu katika kipindi hiki cha mpito.

"ELIMU KWA MAENDELEO YA WATU"

Imetolewa na
Daniel Zenda
Kny; K/Katibu Mtendaji Mkuu

Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu

02/11/2016
 
Watanzaniabikifika 2018 mikopo itatolewa kwa wingi,pesa itapatikana kazi zitakwepo hakuna shida tena.Hapo ndo utajua Tumerogwa na Marehemu.Tutapiga kura tena Badae kila kitu kinapotea tunaanza subilini 2025 watatukoma.......
 
Mods msiunganishe uzi huu na nyingine hii ni taarifa rasmi ya shirikisho kwenda kwa vyombo vya habari.
Nyie TAHLISO acheni UJINGA uliojaa vichwani mwenu, Bodi inamhujumu Magufuli au Magufuli ndo anaihujumu Bodi???...call a spade a spade acheni kujichekeshachekesha kwa Magufuli, inajulikana serikali hii ni mufilisi na haina fedha za kuwapeni lakini bado mnakenua tu meno,mtakuwa na akili na maarifa ya kujitambua lini? Rais wa CCM akisimama anatoa ahadi kedekede za UONGO lakini bado tu mnamwamini kuwa ni mkweli...time to wake up you clueless fools!
 
sijawahi kuona wanafunzi wapumbavu kama hawa, eti bodi inamhujumu Magufuli!!! nonsense, wakati bodi inafuata maelekezo yake! what they are doing ni maagizo ya magufuli
Umenena vyema. Wanaendeleza unafiki. Wangejikita kutetea waliokosa mikopo, au kuinyooshea kidole bodi, bila kumtaja mkulu . Na hao ni viongozi wa wasomi...!!!! Safari bado ndefu
 
Watanzaniabikifika 2018 mikopo itatolewa kwa wingi,pesa itapatikana kazi zitakwepo hakuna shida tena.Hapo ndo utajua Tumerogwa na Marehemu.Tutapiga kura tena Badae kila kitu kinapotea tunaanza subilini 2025 watatukoma.......

Naunga mkono hoja,,,,
 
vijana bado wanajipendekeza huku wanaumia. kinachofanywa na bodi ya mikopo uakikubaliki kamwe.....
 
SHIRIKISHO LA WANAFUNZI VYUO VYA ELIMU YA YA JUU TANZANIA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Ndugu waandishi wa habari,

Shirikisho la Wanafunzi Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania kupitia kwenu tunapenda kuwafikishia umma wa watanzania juu ya mambo mbalimbali yanayoendelea katika sakata la Mikopo ya Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania. Kwanza ifahamike kwamba tumekuwa tukilifatilia sakata hili kwa ukaribu mkubwa na tumechukua jitihada mbalimbali katika kuleta utatuzi ikiwa ni pamoja na kushauri njia za utatuzi wa tatizo hili, mpaka sasa tumeshazungumza na Waziri mwenye dhamana ya Elimu Nchini, Mkurugenzi wa Bodi ya Mikopo pamoja na wadau mbalimbali wa Elimu. Pamoja na juhudi zote hizo bado kuna changamoto kubwa kwenye suala la mikopo.

Awali ya yote tunaunga mkono juhudi na dhamira ya dhati ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt JOHN POMBE MAGUFULI katika kuhakikisha Nchi yetu inasonga mbele kimaendeleo na kuwainua masikini na wanyonge wa Taifa hili sisi kama wasomi wa Taifa hili bado tunaamini kuwa njia pekee ya kumkomboa masikini na mnyonge wa Taifa hili ni kumpatia elimu itakayomuwezesha kujikwamua yeye binafsi na jamii inayomzunguuka, lakini kwa namna ya kipekee tumeshtushwa sana , tunashangazwa na kustaajabishwa na kitu tunachokiona kuwa ni hujuma za wazi zinazofanywa na Bodi ya Mikopo Nchini dhidi ya Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Mhe. Rais JOHN POMBE MAGUFULI.
Yafuatayo yanathibisha uwepo wa hujuma za waziwazi dhidi ya Serikali ya Rais Magufuli.

Serikali imekuwa ikiongeza fedha kwa ajili ya wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu hadi kufikia kiasi cha TShs billion 487 ambayo kwa miaka iliyopita ilikuwa chini ya billion 350 lakini idadi ya wanafunzi imekuwa ikipungua huku kiwango cha fedha kikiongezeka. Mfano kwa mwaka uliopita wanufaika wa mkopo walikuwa elfu 53 lakini mwaka huu wanufaika ni 25,700 pamoja na ongezeko la zaidi ya Tsh billion 137 kwenye Bajeti ya Bodi ya Mikopo.

Pili kumekuwepo kwa kubadilishwa kwa vigezo vya utoaji wa Mikopo ya Elimu ya Juu bila kuwashirikisha wadau husika kama vile wanufaika wa Mikopo ya Elimu ya Juu hali inayopelekea kutokea kwa migogoro kati ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu na Serikali yao. Mfano mgogoro unaoendelea hivi sasa, ukiangalia mwongozo wa Bodi ya Mikopo uliotolewa tarehe 26 June 2016 unatofautiana kwa kiasi kikubwa na mwongozo wa Serikali uliotolewa tarehe 14 October 2016 na kusainiwa na Naibu Waziri Mhandisi STELLA MANYANYA hivyo inatupa taswira ya kuona kuwa kuna jitihadaza za kuhujumu Serikali yetu mfano Bodi ya Mikopo imetangaza kigezo kingine kipya ambacho kipo nje ya mwongozo wao (bodi) lakini pia kipo nje ya mwongozo wa Wizara ya Elimu ambacho ni kigezo cha umri kwamba watu wenye umri wa zaidi ya miaka thelasini hawatonufaika na mikopo (Je? Ikiwa mtu ni mlemavu miongoni mwa vigezo vya kupata mkopo na amevuka umri wa miaka 30 hatonufaika na mikopo?). Tafsiri ya hoja hii ni kuwa Bodi hawana sifa au vigezo vya kudumu vya namna ya kutoa mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu kila mwaka wanakuja na vigezo vipya.

Tatu kumekuwa na idadi kubwa ya watu wanaostahili kupata mikopo na wenye vigezo lakini cha kushangaza hawamo kwenye orodha ya kupata mikopo na idadi yao ni kubwa mfano mdogo tu ni kutoka Chuo Kikuu Cha Dar es salaam wapo yatima zaidi ya 64 ambao hawajapata mikopo na bado tunakusanya data zao Chuo Kikuu Cha Mwalimu Nyerere kati wanafunzi 720 wenye sifa pamoja na yatima 78, waliopata mkopo ni 151 tu.

Nne uhakiki wa vigezo vya utoaji wa mikopo kwa wanufaikaji wanaoendelea na masomo kupitia madodoso ya kujaza ni zoezi linalolenga kufifisha ndoto za vijana wengi masikini kumaliza Elimu ya Juu pamoja na kupunguza idadi ya wanufaikaji wa mkopo lakini vilevile wanafunzi hawa walishaingia mkataba na Bodi Mkopo kugharamiwa masomo yao mpaka watakapomaliza masomo, kusitisha kuwapa mikopo wakiwa vyuoni ni kukatisha mkataba kitu ambacho ni sawa na uchonganishi kati ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu na Serikali yao.

Ndugu waandishi wa habari.

Kutokana viashiria hivyo Shirikisho la Wanafunzi Vyuo vya Elimu ya Juu Nchini tunashauri yafuatayo;
Wizara na Bodi ya Mikopo kuja na vigezo vya pamoja ambavyo ni shindanishi vinavyopimika bila utata na ubaguzi. Mfano ufaulu, uyatima, ulemavu pamoja na mtu anaelelewa na mzazi mmoja au asiye na uwezo.

Pili uandaaji wa vigezo vya uombaji wa Mikopo ushirikishe wadau mbali mbali wa Elimu ya Juu wakiwemo wanufaika wa Mikopo hiyo kupitia Jumuiya zao.

Tatu kuandaliwe mifumo sahihi itakayosaidia kuharakisha upatikanaji wa fedha za ada, fedha za kujikimu na fedha za mafunzo kwa vitendo kuliko ambavyo ilivyo sasa wanafunzi wengi wamesharipoti vyuoni lakini kuna ucheleweshwaji wa fedha zao za mikopo hali inayopelekea wanafunzi kushindwa kumudu gharama za maisha wakati wengi wao wametoka katika familia masikini hii inapelekea kujengeka kwa chuki dhidi wa Serikali yao.

Mwisho
Tunapenda kutoa Rai kwa Vyuo vyote vya Elimu ya Juu Nchini kuwasilisha majina ya Wanafunzi waliodahiliwa na wenye sifa za kupata mkopo ili kufanikisha zoezi la utaoji wa Mikopo kwa wakati.

Tunaiomba Serikali kupitia Ofisi ya Mkaguzi na mdhitibiti wa Hesabu za Serikali kuhakiki Taklibani TShs. Billion 1 na Millioni 740 fedha zilizokusanywa kutokana na ada ya uombaji wa Mikopo kwa mwaka huu (Elfu 30 kwa mtu 1 kwa waombaji Elfu 58), Ili kujua matumizi ya fedha hizo kutokana na mapungufu makubwa yaliyojitokeza katika upitiaji wa sifa na vigezo vya Wanafunzi wanaostahili kupata Mikopo.

Tunaitaka Serikali iipitie upya Bodi ya Mikopo kwani kwa haya yote yanayoendelea inaonyesha wazi kuwa Bodi imeshindwa kutimiza wajibu wake wa msingi, hivyo Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo Vya Elimu ya Juu linatoa siku saba kwa Bodi ya Mikopo kumaliza tatizo la Mikopo kwa Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu.
Aidha tunatambua kero na usumbufu wanaoupata wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Nchini Shirikisho la wanafunzi Vyuo vya Elimu ya Juu tunawaomba kuwa wavumilivu na watulivu katika kipindi hiki cha mpito.

"ELIMU KWA MAENDELEO YA WATU"

Imetolewa na
Daniel Zenda
Kny; K/Katibu Mtendaji Mkuu

Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu

02/11/2016
Nawew unajiita mwenyekiti wa vyuo vikuu huna akili au ndo kujipendekeza maana raisi juzi tuu aliongea kuhusu mikopo leo unakuja na mada yako yakipuuz et wanamhujumu rais.. Kwa akili fupi unadhan rais hajui linalotendka au? Daaah watz bana. Achen kujipendekeza muwatete watanzania
 
Wanafunzi walioko vyuoni katika kipindi cha awamu hii watakuwa na tija ndogo sana vichwani. Maana kila siku akili zote ziko kwenye kufikiria namna watakavyojinasua na majanga ya mkopo. Na nyie vijana badala ya kuita nyeupe ni nyeupe. Mnataka kufanya siasa kwenye jambo lenu.
 
Kukosekana kwa muongozo permanent wa elimu matokeo yake ndo hayo,elimu kuingiliana na siasa. Hii hupelekea kila kiongozi anaeingia madarakani kubadili mfumo wa elimu na kuingiza Sera na vigezo vipy.So it is better ukaandaliwa mtaala waelimu usioweza kuyumbishwa na wanasiasa.
 
sijawahi kuona wanafunzi wapumbavu kama hawa, eti bodi inamhujumu Magufuli!!! nonsense, wakati bodi inafuata maelekezo yake! what they are doing ni maagizo ya magufuli
Chenga sana hawa pumba less
 
Kutokana na hilo watoto wa maskini wengi hatutasoma ukizingatia wanaangalia kama uligusa private tuu unapunguza sifa za kupata mkopo wakati tunajuaa kutokana na serikali kushindwa kuboresha shule za kata na wazazi kua na mwamko wa elimu wakaamua wajichange ili watoto angalau wafaulu tu form four ili iwe nafuu kuliko kusoma shule ambazo zinafaulisha mtu mmoja kati ya watu hamsini....

Kigezo cha ufaulu pia ndo tunachinjwa kabisa watoto wa maskini sababu asilimia zaid ya 80 wanaopata div 1 and div 2 ni private candidate ambao wanasoma shule kama feza,marian,st marys,st francis etc shule ambazo wenye uwezo wa kwenda hapo ni wenye pesa...wakt shule za kata 100 wenye division 1 and 2 hawafiki hata 100 sa zingine..
Mkopo utolewe kwa kigezo cha ufaulu si wanajenga utabaka hapo watoto wao ndo watakao pata fedha izo ilihali wanauwezo

Binafsi namm nna mdogo angu yatima halafu hajapata mkopo piaa inasikitisha asee
 
Back
Top Bottom