Shiriki Kuitangaza CHADEMA kila mahali

Mkuu, ungesema tunauza Scarf za Chadema nadhani ungeeleweka vizuri.

Kwa hiyo kama una pesa ya Scarf itakuwa ngumu kushiriki.
 
nipo sepuka singida vijijini nitaipataje?

huku wanaulizia sana ikiwezekana funga mzigo uje nao huku.
 
Scarf huwa vinatumika sana wakati wa baridi hasa hizo zenye nyuzi nzito. Kwa hapa Dar soko lako litakuwa dogo inabidi ukaziuze mikoa yenye baridi ambayo mingine sijui kama kama wanaielewa hata hiyo CHADEMA unayotaka kuitangaza.
 
mikoa yenye baridi hapa nchini unaifahamu kweli? hii ya arusha,kilimanjaro, iringa na mbeya,sasa huko si ndo maskani kwa cdm,wewe utasemaje huku hawaijui cdm?Au na wewe matatizo yako yanafanana na ya huyu binti Mwanaasha?
 
Kumbe lengo ni kurudi humo humo maskani mwenu? sasa huku kwingine mtaanza lini na kwa style gani? maana scarf ni za maskani kwenu. Siku zote mnaambiwa jitahidini mjulikane nchi nzima hamtaki.
 
mikoa yenye baridi hapa nchini unaifahamu kweli? hii ya arusha,kilimanjaro, iringa na mbeya,sasa huko si ndo maskani kwa cdm,wewe utasemaje huku hawaijui cdm?Au na wewe matatizo yako yanafanana na ya huyu binti Mwanaasha?

watu kama hao wanaogopa CHADEMA inavyosambaa, maana hii itafanya watu waone fahari kwa chama lao na kuwavutia wengine
 
Inapendeza sana mkuu...nitakutafuta!!

karibu mkuu kuinua wajasiriamali wadogo kwa kazi za mikono yao. Mimi nimejitolea kumtangazia hapa na nimenunua scarf nne, wengine wampe support ya kununua kazi yake
 
Si useme unatangaza biashara mkuu!
 
Si useme unatangaza biashara mkuu! Tunazijua namba za mawasiliano za wahusika wa chadema, hasa wanaohusika na inventory control. Wewe nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…