Shirika la Zima Moto

Shirika la Zima Moto

Elinah_mchaki

Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
10
Reaction score
0
Wadau nilifanya app shirika la zima moto na deadline ilikua 1st feb 2014.

Nimepata tetesi majibu yanatoka leo, yeyote aliyenatarifa kamili anijuze
 
Wadau nilifanya app shilika la zima moto na deadline ilikua 1st feb 2014.

Nimepata tetesi majibu yanatoka leo, yeyote aliyenatarifa kamili anijuze

wakikusikia unawaita shirika wanakudisqualify,it seems hujui hata ulichokiapply.Jeshi unaliita shirika?
 
Bora hata ungesema shirika. Shilika ndio nini mkuu?
 
Ivi nyie ukikosa kazi mtailaumu serikali? Bora Wakenya wachukue machaka.
 
ulipata tetesi kwa source ipi? me pia nilifanya bt had sasa cjackia lolote
 
umeisha kosa kazi kama kwenye barua yako ya maombi ya kazi uliandika shirika!yawezekana hata tangazo la kazi hukulisoma
 
Shirika sio shilika tunatoa na elimu humu jamvini kwa wale ambao ni kama wewe na wale wa s kuwa x
 
Mimi nilisoma humuhumu kuna jamaa alisema leo ndo wanaanza kuzichambua hizo barua sio shortlist.
 
Wadau nilifanya app shirika la zima moto na deadline ilikua 1st feb 2014.

Nimepata tetesi majibu yanatoka leo, yeyote aliyenatarifa kamili anijuze

Kwa hiyo familia yenu yooote umewaambia umeomba kazi kwenye 'shilika' la zimamoto, na bila aibu wamekulipia ada walau kumaliza kidato cha nne....
Bure kabisa...
 
Ingia kwenye website ya shilika la zimamoto utapate maelezo zaidi.
 
Kwani jamani hivi viroba maarafu kama burudani wanaruhusiwa kunywa watoto chini ya miaka 18 maana huyu jamaa ni noma jeshi analiita shilika aisieeee
 
Back
Top Bottom