Shirika la umeme (TANESCO)

hakuna shida

Member
Dec 16, 2015
25
5
KATIZO LA UMEME – ILALA

Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linapenda kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Ilala kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE: 20/03/2016 JUMAPILI

MUDA: Saa 03:00 Asubuhi hadi 11:00 jioni.

SABABU; KUFANYA MATENGENEZO KWENYE KITUO CHA KUSAMBAZA
UMEME CHA CITY CENTER

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Alhassan Mwinyi Road, UN, Kilombero, Longido,Mtitu, Kimara, Seaview, Ruhinda, Protea Hotel, Las Vegas and Agakhan Hospital, Raha Tower, Holiday Inn Hotel, YMCA, Bank ya Posta, Maktaba ya Taifa, Makunganya, Azikiwe, AAR Hospital, Cortcar, Billicanas, NMB Azikiwe, Breakpoint, Jamhuri , Haidar Plaza, Mtendeni, Nizar Flats, Mrima, Elia Complex, DIT, CBE, Wizara ya Kazi, NSSF, Umoja wa Vijana, pamoja na Olympio,Upanga Magore, Maweni, Kitonga, Mfaume, Mazengo, Kibasila, Diamond Jubilee, Richmond Tower, Swiss Tower, Mindu, Ohio, Wizara ya Mambo ya Ndani, Serena Hotel, Barclays Bank, Sourthen Sun Hotel, na ATC

Tafadhali usiguse waya wowote uliokatika,

Toa taarifa TANESCO kupitia namba 2138352, 0732997361; 0712052720; 0758880155; 0784 768581 au miito ya simu namba 2194400 au 0786985100



Imetolewa na: Ofisi ya uhusiano,
Tanesco-Makao Makuu
 
Back
Top Bottom