shirika la reli wagoma

mstahiki

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
308
5
"Abiria watarajiwa wakiangalia ratiba ya treni ya reli ya kati leo ambapo baada ya treni la bara kuingia, la kutoka dar kwenda mwisho wa reli halikuondoka na badala yake wameahidiwa litaondoka kesho saa kumi. redio mbao zinasema hakiondoki kitu hapo hiyo kesho hadi kieleweke maana jamaa wameshagoma na wanasubiri waziri kesho aje aongee kwa herufi kubwa kwani wana madai kibao hayajatekelezwa na tajiri wao"


Source:michuzi
 
Back
Top Bottom