Shirika la Reli Tanzania ( TRC) yakanusha madai ya kusimama kwa ujenzi wa SGR

Shirika la Reli Tanzania ( TRC) yakanusha madai ya kusimama kwa ujenzi wa SGR

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Shirika la Reli Tanzania @tzrailways limewataka wananchi kutupilia mbali upotoshaji wa makusud i unaofanywa na baadhi ya watu kuwa mradi wa SGR umesimama na kwamba tayari Shirika limeshapata mkandarasi wa ujenzi wa ujenzi wa vipande mpaka Mwanza na pia Tabora mpaka Kigoma kwa maana ya Uvinza mpaka Musongati Burundi

Mkurugenzi Mkuu wa TRC Mhandisi Machibya Shiwa, ametoa tamko hilo katika banda la maonesho la TRC katika maonesho ya kimataifa ya 49 ya biashara maaarufu kama Sabasaba, ambapo pia anewahakikishia Watanzania kuwa mradi huo utakamilika kabla ya 2030 kama yalivyo maono ya Rais Samia kwakuwa rasilimali fedha zipo

Katika hatua nyingine Mkurugenzi mkuu huyo wa TRC, ametoa wito kwa Watanzania hususani watumiaji wa reli kutoa mrejesho katika kipindi cha mwaka mmoja wa uendeshaji wa SGR, ulioanza Juni 2024




Chanzo: JAMBO TV
 
Nasikia pia soon tuta tangaziwa mwekezaji mpya ambae ata simamia safari za tren
 
Back
Top Bottom