Bahati furaha
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 3,077
- 1,439
Drone sio lazima iwe ya kivita mkuu.
Ni ndege yoyote isikuwa na rubani. Hizi hutumika kwenda sehemu zisizofikika mfano kwenda kufanya tafiti na mambo mengine.
Drone sio lazima iwe ya kivita mkuu.
Western Union haipatikani kwenye M - PesaHivi kuna watanzania huwa bado wanatumiana pesa kwa posta?
Mkuu drones sio za kivita kwani hata madukani zinauzwa na watoto wana operate siku hizi
Gharama zake Sh. ngapi mkuuWangeingia ubia na shirika la atcl, si nayo inakuwa na kufika mikoa yote. Kununua ndege ni gharama na uendeshaji wake ni gharama zaidi kuliko kulipia gharama za kusafirisha kutumia atcl, ukizingatia haiko kiushindani, na inapata ruzuku ya serikali, hivyo bei zao ziko chini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia ya leo unatia hela kwenye bahasha? Mbona mitandao ya fedha ipo mingi Mjomba?barua zenyewe huwa wanazifungua...km kuna vihela anachomoa halafu anafunga ndo anapost...vyma vimekaza balaa
Mugumu kwa Ded.Me naamini Posta wanapoongelea mafanikio sio ya barua hizi za kawaida target yao itakuwa vifurushi ambavyo vinatumwa toka nje na ndani mostly vitakuwa vinatua Dar then wao ndio wanatakiwa wa speed up kuvifikisha kwa wateja hasa mikoani mfano tunavyonunua vitu Alli Express halafu ukajaza address mkoani,hilo wazo zuri ila hapo juu walipoelezea kutumia Drones nahisi wametuchezesha najua Drones zinafanya kazi nyingi ila siamini kama posts wameanza zitumia. Ila all in all nawatakia wafanikiwe twende kisasa niagize mzigo China niupate kwa wiki mbili hata nikiwa Mugumu Serengeti.
Huduma ya utumaji fedha nadhani ni ile money fax. Au Western Union.km hawaitumii kutuma pesa mbona ina products za kutuma pesa, na bado shirika lipo hadi lina benki yake??? acha ujuha