Shirika la ndege la Urusi latengwa na dunia, kutouziwa spare parts, na kuzuiwa kwenye anga za mataifa mengine

Mkuu samahani!

Hivi hapo ulipo kweli kichwa umetembea nacho?au umeacha kabatini?how unazungumzia nuclear bombs kama unazungumzia kiporo cha wali maharage?

Nimecheka sana yaani, hawa timu Putin wa kwa Mpalange sijui wamejawa mahaba kama misukule vile.
Unakuta mtu anashangaa kwanini Putin amechelewa kutumia nyuklia kukamilisha shughuli dhidi ya Ukraine.
 
Nimecheka sana yaani, hawa timu Putin wa kwa Mpalange sijui wamejawa mahaba kama misukule vile.
Unakuta mtu anashangaa kwanini Putin amechelewa kutumia nyuklia kukamilisha shughuli dhidi ya Ukraine.

Marekani Alitumia nyuklia hiroshima na nagasaki mwacheni nae putin atumie kujilinda na maadui zake,

haijalishi itagharimu uhai wa wangapi hata kama ni kuteketea dunia nzima;
 
Putin kanasa kwenye mtego, alisubiriwa miaka mingi sana na ndio keshaingia mazima mazima.
Taifa lake linajitafuna lenyewe bila kupigwa na mtu, hapo alipo hana sababu za kutumia Nyuklia ila anaendelea kuishiwa

Usisahau mafuta na gesi vya panda kwa %60 Eu na marekani; norway wanalalama hali haivumiliki
 
Sasa kwa mfano akishinda vita akaamuwa Zelensky- Je ataaendeshaje nchi wakati katendgwa katika nyanja zote mpaka michezo?
Wataunda umoja wao China, Russia, North Korea na baadhi ya nchi za Kiarabu bila kusahau Nomadic Countries...
unafikiri watu wote wanampenda mmarekani ni vile walikuwa hawana choice
 
This Sanctions are Double Edged Sword which America might regret one day.... I can see the De-dollarization coming sooner than later....

China and Russia will lead the way...
 
Back
Top Bottom