Shirika la Ndege, FlyBMI lafirisika!

Siku hizi wanatumia nguvu za abiria kulisukuma lidege

In God we Trust
 
Chadema wanatamani hata nchi yetu ipigwe bomu la nyukilia wote tuangamie, wanajua kuponda tu, kusiliba na kutukukana

Ofisi yao pale ufipa ni chafu kama choo. No one bother, mwenyekiti anasaini ruzuku ya mamilioni kwa mwezi na misaada ya nje lakini hakuna anaeuliza. Akitokea shujaa anasema ukweli anaitwa msaliti.
Makamanda tuwaache kama walivyo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushaambiwa sisi tuna mahela mengi sana ndiyo maana tunanunua mandege kwa keshiii
Mashirika ya ndege yanayofilisika yapo mengi sana, tena mengi yake yapo Ulaya na Marekani kwenye wasafiri wengi wanaotumia ndege.

In God we Trust
 
Duuuuh inamaana tulipewa kama mabaki au ?
In God we Trust
 
Sasa hapo mapungufu ya hoja yako wapi ndugu yetu?
Mada zako nyingi zinauwalakin samahan kwa kuusema ukweli huu, angalia aina ya presentation yako, mara uweke vituko mara uweke mbwembwe,

Jaribu kuwa unaleta hoja ili hata Lumumba waamini kwamba wamepoteza kweli mtetezi mtandaoni,

In God we Trust
 
Kwenu nyinyi hoja mzuri ni kupongeza pongeza tu?
In God we Trust
 
Ushindani mkubwa. Kuna njia za kuepuka, sema nyie msiojua mnapaniki kweli kweli, ila Tz tumejipanga sana
Labda kujipanga kwenye foleni ya kuingia kwa mchina kutazama simba na lipuli

In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…