Pozzers JF-Expert Member Joined Sep 14, 2013 Posts 337 Reaction score 560 Dec 12, 2018 #1 limetahadharisha kuwa, benki 6 nchini #Tanzania zipo hatarini kuanguka kutokana na kutokuwa na fedha za kujiendesha (undercapitalised). IMF imesema tatizo hilo limezidi kuikumba sekta hiyo nchini, na kupelekea Benki 6 kufungwa na BoT Januari 2018.
limetahadharisha kuwa, benki 6 nchini #Tanzania zipo hatarini kuanguka kutokana na kutokuwa na fedha za kujiendesha (undercapitalised). IMF imesema tatizo hilo limezidi kuikumba sekta hiyo nchini, na kupelekea Benki 6 kufungwa na BoT Januari 2018.
Consigliere Platinum Member Joined Sep 9, 2010 Posts 12,905 Reaction score 27,434 Dec 12, 2018 #2 Hela zipo BOT. Kule kuna hadi mifweza ya kigeni.
Xubzero JF-Expert Member Joined Jul 21, 2018 Posts 244 Reaction score 415 Dec 12, 2018 #3 Serikali ina hazina mpaka ya fedha za kige,kauli hii aliisema kiongoz mmoja